Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

Efe 6:12 SUV
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Tumeagizwa kupambana na mifumo hii. Nape na wenzake inatakiwa waondoke
 
Hili ni Jambo jema kwa Nchi ila Tatizo litakuja kwa serikali yetu hii... Hapa ndo mtachoka na waambia, hio starlink itapigwa kodi mpaka mtashangaa, tutarudi palepale kwenye 3000 kwa GB 1.
Hebu imagine nchi kama hii et wanazuia njia za mtu kupokea pesa from abroad, seriously?
Mimi mwaka huu lazima nikimbie nchi...
 
Kwa Tanzanian ni ngumu sana kupata unafuu maana serekali inaweka kodi za kukomoa kama kwenye mafuta
 
Kwa Tanzanian ni ngumu sana kupata unafuu maana serekali inaweka kodi za kukomoa kama kwenye mafuta
Lengo wengi wawe masikini Ili waweze kutawaliwa, huwezi mtawala mtu mwenye shibe
 
Naona kama Kenya wanaweza kuiteka kwa mbele hii kitu huku itakua bado kuna wazee wa asilimia 10 Wana mkwamisha
 
Waiting for approval, kweli kwa speed hii, ya kukaribisha uwekezaji, hii ndiyo speed sahihi?, baadhi wajitafakari kiutendaji wapigwe chini.
...Huku ndio Kuupiga mwingi Kwa Mama, Kwa Kutafuta Wawekezaji???
Mwisho wake SI Elon kufunga Virago vyake na kuhamis Nchi nyingine, Kwa Hasara yetu?
Imetosha.... Sasa tuingie Msituni kukabiliana na Ujinga huu !!?
 
Hizo kampuni za simu zitulie.
Mfumo wa maisha upo hivi bahati huwa haiji mara mbili. Ya leo sio ya kesho. Ukipata leo tunza, kesho chochote utokea,
1.kufukuzwa Kazi
2.kuhamishwa kitengo, mkoa
3.ujio wa technology mpya
4.ushindani mpya, nk
Zamani mjini kulikuwa na wabeba zege wakichafua mji kwa makohozi this day zege upanda kwa winchi
 
Tatizo mkuu ni Freemason ndo maana serikali yetu inasitasita inajua. Ni kwa faida yetu tusiingie kichwa kichwa tu. Maisha na Uhai wa mtanzania ni muhimu sana usiwekwe rehani eti kwasababu tu ya wazungu kuzuru na kuzuga huko mbugani. NASEMA HAPANA!
....We uko Vodacom!....[emoji57]
 
Hiyo kitu ushindani sahau katika nchi ya kijima kama hii yetu,nchi ambayo karne ya 21 imepiga marufuku kitu kama paypal kwa sababu zisizoeleweka ndio waruhusu internet ya starlink halafu ije kuua kampuni zao walizoweka hisa!
...Dawa ni Kuingia Msituni TU, kuikomesha huu Upumbavu!
 
Through photosynthesis and respiration cellular respiration haemoglobin mega structure infusion of amateur sleuths insense of sistavangas.
Mtu anauliza genuinely kutaka kujua wewe unajibu pumba, na bado eti watu wame likes huo ujinga. It's so strange how can someone waste time and bundle to comment nonsense and stupid stuff.
 
Back
Top Bottom