BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Kwa Maendeleo haya, na Watuingize! Sijui Freemason wanahusika vipi Hapo!Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
Wewe uko Vodacom? Mmeanza![emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Kwa Maendeleo haya, na Watuingize! Sijui Freemason wanahusika vipi Hapo!Endeleeni kushabikia tu wakati Freemason wanawaingiza mkenge.
Siyo ajabu mwamba akawa hajui hata GUI na CLI ni wadudu gani.Najuta kuzaliwa Africa.
Tunaongozwa na vipofu.
Embu fikiria mtu asiyejua HTML na CSS ndiye Waziri wa Teknolojia,
Bila ya kujua teknojia ndiyo future ya nchi
...Ndio Mwanzo wa kushika Silaha na Kupambana na Wajinga Hawa!!...Bongo Bahati Mbaya.
Mimi mwaka huu lazima nikimbie nchi...Hili ni Jambo jema kwa Nchi ila Tatizo litakuja kwa serikali yetu hii... Hapa ndo mtachoka na waambia, hio starlink itapigwa kodi mpaka mtashangaa, tutarudi palepale kwenye 3000 kwa GB 1.
Hebu imagine nchi kama hii et wanazuia njia za mtu kupokea pesa from abroad, seriously?
Matatizo hayakimbiwiMimi mwaka huu lazima nikimbie nchi...
Lengo wengi wawe masikini Ili waweze kutawaliwa, huwezi mtawala mtu mwenye shibeKwa Tanzanian ni ngumu sana kupata unafuu maana serekali inaweka kodi za kukomoa kama kwenye mafuta
...Huku ndio Kuupiga mwingi Kwa Mama, Kwa Kutafuta Wawekezaji???Waiting for approval, kweli kwa speed hii, ya kukaribisha uwekezaji, hii ndiyo speed sahihi?, baadhi wajitafakari kiutendaji wapigwe chini.
Tutaitumia hio hio safelite ya Kenya,sky is not limitNaona kama Kenya wanaweza kuiteka kwa mbele hii kitu huku itakua bado kuna wazee wa asilimia 10 Wana mkwamisha
....We uko Vodacom!....[emoji57]Tatizo mkuu ni Freemason ndo maana serikali yetu inasitasita inajua. Ni kwa faida yetu tusiingie kichwa kichwa tu. Maisha na Uhai wa mtanzania ni muhimu sana usiwekwe rehani eti kwasababu tu ya wazungu kuzuru na kuzuga huko mbugani. NASEMA HAPANA!
...Dawa ni Kuingia Msituni TU, kuikomesha huu Upumbavu!Hiyo kitu ushindani sahau katika nchi ya kijima kama hii yetu,nchi ambayo karne ya 21 imepiga marufuku kitu kama paypal kwa sababu zisizoeleweka ndio waruhusu internet ya starlink halafu ije kuua kampuni zao walizoweka hisa!
Mtu anauliza genuinely kutaka kujua wewe unajibu pumba, na bado eti watu wame likes huo ujinga. It's so strange how can someone waste time and bundle to comment nonsense and stupid stuff.Through photosynthesis and respiration cellular respiration haemoglobin mega structure infusion of amateur sleuths insense of sistavangas.
...Usikimbie! Ni kwenu. Hamasisha Watu tuingie Msituni, tuheshimiane!...Mimi mwaka huu lazima nikimbie nchi...
Unlimited hiyo ya mbps 20 haina kasi kwenye uploading. Nunua Gbps 3 kwa 1.2m kwa mwez 5g kakaBora waje...voda kifurushi cha chini 115k ila speed kobe na kukatakata kama umeme wa Tanesco.