Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Wasaalam
Mwanasayansi makini , mwanzo sikujutia kukusoma wala kukufatilia,nikakufanya namba mbili baadala ya nguli mwingine kinara aliyeruzukiwa vipawa tele MuItaliano Leornado Mwana wa di ser Piero
Nikaamua kukupokea Ubongoni nikakufanya mwanasayansi Bora wa muda wangu nliyewahi kukushuhdia ,ukairudhuku dunia akili na ufahamu wa ubongo wako nayo ikakupatia utajiri, ukawapiku kina Carlos , Billget na Mark Zuckerberg kila ulipojiskia kutoa project Jeff mwenyewe bado anakutazama kwa jicho la uhaini
Ukaishangaza Dunia kila upendavyo mikakati ya Neuralink ,Space X na Tesla Company vingetosha kwa kila ambaye haamini sababu za wewe kuwa namba moja ,kuamini kuwa unaitendea kazi vilivyo Tasnia ya sayansi na teknolojia.
Serikali ikakuamini ,NASA nayo ikakupa amana,
Una sifa tele Ewe mzaliwa wa Afrika
Nimepata kusikia ,kusoma na kujionea mengi kukuhusu wewe Na project zako, NEW WORLD ORDER na makando kando tele...sikuzipa nafasi ingawa nazielewa sana ,na mikakati yake tunaiona
Nikaruhusu ubongo wangu ukuchukue na kukuamini katika matokeo Chanya pasi na kuwa na shaka nawe
Ule upande hasi nikauweka kando kwanza .
Mars Civilaization ikaniaminisha kile ulichowahi kusema siku moja kati ya Vingi kuhusu project yako hiyo
" Dunia imechafuliwa sana, vipi kama itatokea maafa na madhara (mafuriko,vimondo na mengine) yaliyowahi kutokea kabla, na Ilhali tuna teknolojia inayoweza kutufikisha sehemu nyingine Endapo Dunia yetu itakutana na Maafa"
Binafsi mara nyingi huwa naafikiana nawewe hivyo hata sababu hiyo sikupinga na ina ukweli mwingi sana, Mkuu.
Lakini kidogo nikasita baada ya kuiona picha , Picha Hiyo mwishoni kabisa kwenye huu uzi hapo chini ikanikumbusha mengi ina ujumbe Mfupi kwenye macho lakini wenye maudhui ,
mapana sana kwenye ubongo na Moyo wa mwanadamu.
Ikanikumbusha kule Sudan, Somalia, Syria, Gaza, Myanmar, na nchi nyingi zenye maafa na Dhiki tele
Nikawaza Dunia pengine inahitaji msaada wa kuboreshwa zaidi kuliko Mars
Lakini nikakumbuka wewe si tu mwanasayansi , bali mfanyabiashara nguli na mchapakazi,Tajiri namba mbili Dunia
Ni lazima ungefanya chochote kwa Ajili ya Faida yako binafsi pia na kipato chako, wale watoto Wa karne zijazo wapate kukusoma kwenye vitabu , mitandao ya kijamii na mengineyo mfano wa hayo.
Kuzisaidia nchi zenye maafa ya Njaa kutakurudhuku nini tena??? wewe ilhali hamna faida yoyote , utakayopata Lakini Dunia inahitaji sanaa vingi kuliko Hiyo Mars.
Kibaya na cha Ovyo Zaidi hamna utakacho bahatika kuona katika Jumbe hii, huenda pia wakutana na Jumbe fupi kuhusu hili, au comments fupi kwenye Akaunti zako za mitandao ya kijamii au huenda wewe mwenyewe una lijua hilo lakini, utafanyaje Unapangiwa au laah unaangalia manufaa
Pongezi sana nguli Elon Musk
Hii picha imeniwazisha mengi sana
WHO CARES???