Elon Musk, kwa mara ya kwanza project yako ya Mars imenipa wasiwasi

Elon Musk, kwa mara ya kwanza project yako ya Mars imenipa wasiwasi

Na uwaulize muda ukiwadia wa kuhamia Mars kwasababu dunia inakufa ni akina nani wapate kipaumbele kutangulia. Ndo hapo utakuja uache kabisa kumfuatilia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila taifa lina serikali yake na hayo ya kusaidia wananchi ni majukumu yao. kibaya viongozi wa hizo serikali ambao ni wazawa halisi ya hayo mataifa ni mafisadi na wezi wanaojali matumbo yao.

Na mtu kama musk hawezi kujeopardize companies na businesses zake ambazo sio za kwake peke yake kwani kuna watu waliowekeza pesa zao kwake.
Sasa kusaidia mambo ya mataifa mengine ambayo hayaingizi faida ni kurisk businesses na companies zake, maisha ya maelfu ya wafanyakazi aliowaajiri kwani nao wana mamilioni ya familia zinawategemea na sio kurisk tu mambo yake bali na maisha yake kwani hizo nchi hazichelewi kukumaliza ukijitia ujuaji.

considering kuna mashirika ambayo yapo kwa ajili hiyo tu ya kutoa misaada.

Life is not fair na huwezi kusaidia kila mtu guess what kila mtu apambane kivyake na akipata aspend anavyoweza kama ni kusaidia watu au kufanya project za mars.
 
acha ndoto za mchana, mwanadamu ameandikiwa kuishi duniani umri ukiisha atarudi kwenye tumbo la ardhi utalala hapo miaka mingi mpaka siku ya kufufuliwa.....habari za kuishi mwezini na sayari ya mars ni kuota tu mkuu....kama huamini nenda mars tukuone..
perseverance iko mars right now.
 
Kuna watu wanakufa kwa kukosa dawa huko vijijini, ila serikali ilienda kununua ndege na kujenga mabwawa ya umeme.

Ukielewa logic ya hii scenario, hata Elon Musk utamuelewa!
mkuu serikali ni jukumu lake na ni wajibuwake kununua dawa sababu wananchi wanalipa kodi na iliwachagua kama viongozi wao.

elon musk ni mtu binafsi ambaye amehangaika mwenyewe kutafuta pesa zake kwa biashara zake na wala hana mahusiano yoyote na kusaidia watu wengine.

HUU mfano wako haumake anysense.

masikini siku zote wanadhani tajiri ana wajibu wa kuwasaidia kitu ambacho sio kweli.
 
MTU mbad
Screenshot_20210411-132633.jpg
 
mkuu serikali ni jukumu lake na ni wajibuwake kununua dawa sababu wananchi wanalipa kodi na iliwachagua kama viongozi wao.

elon musk ni mtu binafsi ambaye amehangaika mwenyewe kutafuta pesa zake kwa biashara zake na wala hana mahusiano yoyote na kusaidia watu wengine.

HUU mfano wako haumake anysense.

masikini siku zote wanadhani tajiri ana wajibu wa kuwasaidia kitu ambacho sio kweli.
okeyy
 
Unaonaje ungebadili title?
BTW, its wise kutazama nje ya upeo wa mboni zetu.. Imagining life beyond 1000 years and starting working to deliver your imaginations!!
This is what he chose.
Akina Bilgate wapo wanalifanyia kazi hilo la makapuku tunaoishi duniani kwa wakati huu.
okeyy
 
Back
Top Bottom