Elon Musk, kwa mara ya kwanza project yako ya Mars imenipa wasiwasi

Du!.. Jamaa yangu naona hujui kabisa kinachoendelea, hivi unajua kuwa kilomita 400 kutoka Dunia hii katika anga hii unayoiona kuna kituo ambacho kuna binadamu wanaishi huko wakifanya utafiti huku wakipokezana kuishi huko kwa zamu kila baada ya miezi sita wanaenda wengine?.. tusiandikie mate, tuombe uhai tu, mwaka 2030 utashuhudia kwa macho yako.
 
Hayo maafa unayo yaona izo nchi zenye maafa wachonganishi c hao hao wazungu unazani wazungu ni wajinga wananufaika na ayo maafa na iyo migogoro za izo nchi wazungu ni wabaya sana.
Ni mbwa mkuu na wala siyo binadamu
 
sasa kilometa 400 si hapo juu tu mkuu.....we unaona mbali?!..
unazungumzia nini hapa kwani, hiyo international space station au?....mimi ninachokisemea ni sisi wanadamu hatukuandikiwa kuishi sayari nyingine zaidi ya duniani huko tutaishia kutuma vifaa kutafiti tu wala hatuwezi kufanikiwa.....
 
Nani anaelewa hii tweet ya Elon Musk------

Due to lower gravity, you can travel from surface of Mars to surface of Earth fairly easily with a single stage rocket. Earth to Mars is vastly harder.
 
Kuna watu wanakufa kwa kukosa dawa huko vijijini, ila serikali ilienda kununua ndege na kujenga mabwawa ya umeme.

Ukielewa logic ya hii scenario, hata Elon Musk utamuelewa!
 
Nani anaelewa hii tweet ya Elon Musk------

Due to lower gravity, you can travel from surface of Mars to surface of Earth fairly easily with a single stage rocket. Earth to Mars is vastly harder.
GwaB njoo uone wameanza kujitetea mkuu...
 
Unaonaje ungebadili title?
BTW, its wise kutazama nje ya upeo wa mboni zetu.. Imagining life beyond 1000 years and starting working to deliver your imaginations!!
This is what he chose.
Akina Bilgate wapo wanalifanyia kazi hilo la makapuku tunaoishi duniani kwa wakati huu.
 
Na bado siku ukija gundua kwamba siyo personal interest pekee waliyonayo hawa jamaa wote uliowamention bali pia ni ajenda za NWO na nyuma yake yuko devil himself.
Nimekupata vizuri mkuu, Binafsi hawa jamaa sijawahi kuwaamini kama wanayofanya ni hakiri zao pekee au ni Devils control..
 
Mwanadamu ameshafika kwenye mwezi. Ni suala la wakati tu, wanasayansi wataanzisha makazi huko. Tafuta habari za Neil Armstrong ujielimishe.
 
elon musk baada ya kupewa taarifa kuhusu ujumbe wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanadamu ameshafika kwenye mwezi. Ni suala la wakati tu, wanasayansi wataanzisha makazi huko. Tafuta habari za Neil Armstrong ujielimishe.
yaani mwanadamu aende mwezini mwaka 1969 kisha asirudi tena wakati technology iko kwenye peak miaka 52 baadae....angalia mambo kwa jicho la tatu mkuu..
 
Starlink, space x mbona inafanya vizuri kupeleka satelites na wana anga nje.
Magari ya umeme siyo hoja, hoja ni je yanaweza kucover distance kiasi gani per single charge ndilo jambo ambalo lilikuwa linawasumbua. Pia Tesla kawekeza sana katika technology ya magari ya kujiendesha.
Na sasa hivi kila kitu kinachotumika kutengeneza hayo magari anakizalisha mwenyewe siyo kama wengine wana outsource. Japokuwa li cyber truck halijanivutia hata kidogo.
Neuralink now inaweza andika essay au blogpost ukahisi ni binadamu kaandika. Unafanya kuipa kicha cha habari tu.
Jamaa kafanya mengi katika muda wake aisee. Mimi namwona ni visionary na mjasiriamali ka steve jobs na siyo mwanasayansi kihivyo.
 
yaani mwanadamu aende mwezini mwaka 1969 kisha asirudi tena wakati technology iko kwenye peak miaka 52 baadae....angalia mambo kwa jicho la tatu mkuu..
Binadamu anarudi mwezini 2024 bila shaka yeyeto NASA Atermis.
The Artemis program is a U.S. government-funded international human spaceflight program that has the goal of landing the first woman and the next man on the Moon, specifically at the lunar south pole region, by 2024.
 
yaani mwanadamu aende mwezini mwaka 1969 kisha asirudi tena wakati technology iko kwenye peak miaka 52 baadae....angalia mambo kwa jicho la tatu mkuu..
kwa kweli na mm hili jambo huwa linanifikirisha sana.
Naona hapa tulipigwa kamba. imagine computer ya mwaka 1969 na computer ya 2021, si ndio wangekuwa wamefanya mwezini beach yani wanaenda kuogela na kisha kurudi Earth kulala.
Nawaza tuu lakini
 
Ahaaa kumbe unakijua hicho kituo kuwa kipo ingawa hujui wanapanga nini, lakini nikufahamishe tu kuwa hivi tunavyoandika kuna "Rover" ya marekani kwenye Sayari ya Mars iliyotua mwanzoni mwa mwaka huu inatuma taarifa kila siku hapa Duniani ikiwa ni hatua za mwanzo kabla ya kutuma binadamu. Kwa taarifa yako hata muundo wa Kota za makazi ya binadamu kwenye Sayari hiyo viko tayari.
 
lets wait and see..
 
kwa kweli na mm hili jambo huwa linanifikirisha sana.
Naona hapa tulipigwa kamba. imagine computer ya mwaka 1969 na computer ya 2021, si ndio wangekuwa wamefanya mwezini beach yani wanaenda kuogela na kisha kurudi Earth kulala.
Nawaza tuu lakini
hao jamaa wazushi tuu....ni kitu kigumu..
 
Scientific fact, ni kwamba we have been to the moon. Hizo nyingine ni conspiracy theories of which I'm not a fan!
okay mkuu let's wait and see.....ukweli utajulikana muda ukifika....am not trying to theorize conspiracies anyway..
 
mhhh haya asante kwa taarifa, ngoja tuone mwisho wake mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…