Elon Musk mbinafsi sana

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huyu bwana wazazi wake ni makuburu wa Africa Kusini kwa maana ya kwamba ni wahamiaji kutoka Ulaya, yeye sasa hivi ni mhamiaji wa US kutoka Africa Kusini, alirithi pesa kutoka mgodi wa rubi wa baba yake huko Africa Kusini lakini kucha kutwa kuwasema, kuwabeza na kwananga wahamiaji wanaoingia West.

 
Sio mbinafsi tu bali ni mbaguzi wa rangi mzuri tu,

Hizo page anazoziquote hebu ingia uone zina promote nini kama sio white supremacist.
 
Tajiri hasemwi
 
Utajiri wa kupewa mezani ndio ulivyo hivyo unalala tu asubuhi unasaini makaratasi ushakua tajiri mzuri wa kurithi
mwenyewe hakubali hata siku moja kuwa kapelekwa marekani, kusomeshwa na kukuzwa na huo mgodi, ila baba yake ni mropokaji sana ndio kabwatuka, kuna interview alifanya miaka 10 iliopita ila musk amefanya mpango imefutwa unaipata archive.org hapa


musk hataki watu wajue sana sababu ni illegal mine, mgodi ulikua zambia na waliiba tu hayo madini haikua official
interview ya baba
 
Tatizo, mkija huku ulaya mnajikuta wafia dini
Hio ni divide and rule, we ingia hio page aliyo quote musk, leo itamsema Muisilamu utasema mfia dini, kesho itamsema Mweusi utasema Wa Africa wana vurugu, Kesho kutwa itamsema mahindi utasema wale wachafu etc. Ila lengo lao moja white supremacist, sisi wote maf*la tu wao ndio wana haki ya kutawala dunia.
 
Dunia Ina Siri kinoma
 
Dua la kuku halimpati mwewe. Acheni umbeya tafuteni pesa hamna namna.

There is always no shortcut to success and the luck is always against the one who depends on it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…