Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kunq jamaa mmoja Mtanzania mwenye uraia wa Uingerwza anakaa Uingereza. Kipindi cha BREXIT alikuwa anashabikia sana BREXIT, nikamuuliza kwa nini anashabikia sana Uingereza ijitoe EU?
Akasema yeye kapigania sana kupata uraia Uingereza, halafu kaona raia wa Eastern European countries kama Poland wanakuja kuchujua kazi kirahisi Uingereza (kwa sababu Poland ni EU member). Akataka UK ijitoe EU kwenye BREXIT ili kazi za UK zisiwe na competition sana kwa watu wa EU.
Maisha ni mashindano.