Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Vita vya maneno vimeibuka katika mtandao wa X kati ya tajiri mbwatukaji Elon Musk na mwanasiasa mbwatukaji toka Afrika Kusini Julius Malema kisa kauli zilizo tafsiri kuwa za kibaguzi toka kwa mwanasiasa huyu kwenda kwa jamii ya wazungu wa Afrika Kusini.
Tajiri Elon hapa kachafukwa anataka Malema awekewe vikwazo na kuitwa muhalifu wa kimataifa.
View: https://x.com/elonmusk/status/1888589439334584813?t=wHocRLFjKscoyu_td3wIwg&s=19
Naye Malema akamjibu hapa chini ya Post yake na kumuita "mwehu" kazi ipo
View: https://x.com/Julius_S_Malema/status/1888598694175412246?t=j9g0AzKZvih41s7f6VLUcQ&s=19
Hapa tajiri mbwatukaji Elon anazidi kukazidi katika accounts mbalimbali kweli kachafukwa" Elon kimwili yupo US ila kiakili bado yupo kwa Madiba
View: https://x.com/elonmusk/status/1888592034686005738?t=KV_7Qc5sEMmzAvlldGWcbg&s=19