Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

Elon Musk na Julius Malema ndani ya vita kali ya maneno. (Huyu Elon toka apewe rungu anaenda kuchanganyikiwa)

Hapa Trump, hapa Elon 🤣🤣🤣 mbona dunia kuna upande itakuwa haizunguki kwa miaka 4
 
Malema anazimudu hizi battle na makaburu,shahidi Helen Zille.

Dubul'ibhunu
 
Back
Top Bottom