Elon Musk ni kichomi

Huyo Musk ni tycoon mhuni tu, hakufaa kuhusika na mambo ya serikali.
Kuhusu kuwa mhuni naunga mkono hoja. Jamaa mjanja mjanja na bingwa wa kucheza na masoko hasa cryptos. Bila shaka anatabia ya pump-and-dump baada ya kuzipa hype wajinga wakajaa zikapanda bei.
Hapo kwenye conflict of interest ya kupitia tendors za makampuni na serikali wakati yeye mwenyewe kampuni zake nazo zina tenda na serikali ndipo panachekesha.
 
Sio Elon tu mkuu, hiyo ndio "KAZI" ya big fishes, wanakuingiza chaka ununue kwa bei ya juu wakati wenyewe wanauza na uuze kwa bei ya chini wakati wenyewe wananua! Jifunze jinsi ya kuogelea nao, nenda na mdumdo wao hutakuja tena hapa kumlaumu Elon (hapo siyo kwenye crypto,wala FX, wala Commodity...kote huko mchezo wao ni huo maana wao wanaweza kuona pande zote za soko na Wana mitaji ya kupeleka soko wanapotaka liende
 
Nimemzungumzia Elon kwa sababu now ni master wa kuhype vitu. Twit yake moja tu inaweza kufanya thamani ya coin fulani kupanda. Unakumbuka hype aliyozipa dogecoin na shiba inu?
Jamaa ni master wa promises...
 
Nimemzungumzia Elon kwa sababu now ni master wa kuhype vitu. Twit yake moja tu inaweza kufanya thamani ya coin fulani kupanda. Unakumbuka hype aliyozipa dogecoin na shiba inu?
Jamaa ni master wa promises...
Na Mimi nimekupa uzoefu WA jinsi mchezo huu haujaanza na Elon, ni wa kitambo Tu na sio kwenye cryptocurrency Tu!
Nikakupa na ushauri wa jinsi ya kukwepa mtego huo.....
Usifuate mkumbo, usifuate habari/tweet
 
Na Mimi nimekupa uzoefu WA jinsi mchezo huu haujaanza na Elon, ni wa kitambo Tu na sio kwenye cryptocurrency Tu!
Nikakupa na ushauri wa jinsi ya kukwepa mtego huo.....
Usifuate mkumbo, usifuate habari/tweet
Of course najua si yeye tu ila nimemwongelea alivyo mjanja mjanja. Wajanja siku zote wapiga pesa kama ilivyo kuwa hype ya NFTs. Kuna watu wamepiga ela za wajinga kwenye NFTs na kuwaacha na vitu visivyo na thamani walivyo vinunua kwa hundreds of dollars.
Since mwanzo mimi ilikuwa haimake sense eti niwe na digital picture ambayo mtu anaweza kuwa na copy yake inayofanana exactly na hiyo, halafu eti nijivunie kuwa na original digital picture tu.
 
Kumbe? Hii sijakutana nayo maana ya kusimamishwa nimekutana nayo asubuhi asubuhi.
Sasa za US zimebadilika sana kuna na visasi ndani yake. Naona soon itakuwa sawa na CCM na Chadema inavyokuwa hapa nchini.
Kuna mbunge wa huko Marekani anasema yanayoendelea huko ni sawa na some "banana republic shit".
 
Kuna mbunge wa huko Marekani anasema yanayoendelea huko ni sawa na some "banana republic shit".
Bado Trump hajamaliza na nilisikia ana mpango wa kuwaondolea ulinzi viongozi wastaafu akidai waajiri walinzi wao binafsi. CIA amewapa option ya kustaafu wapewe malipo ya miezi nane au wasubiri kuachishwa kazi.
 
Elon hii vita itammaliza kibiashara ameingia choo cha kike tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…