Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
- Thread starter
- #41
Kwakweli ni CHIBOKO!Wanasema hii ndio timu ya DOGE View attachment 3228754
š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakweli ni CHIBOKO!Wanasema hii ndio timu ya DOGE View attachment 3228754
Kuhusu kuwa mhuni naunga mkono hoja. Jamaa mjanja mjanja na bingwa wa kucheza na masoko hasa cryptos. Bila shaka anatabia ya pump-and-dump baada ya kuzipa hype wajinga wakajaa zikapanda bei.Huyo Musk ni tycoon mhuni tu, hakufaa kuhusika na mambo ya serikali.
Ni hatareeeKweli boss Trump, na Elon wanajifanya pachangamke big time, hahahaha kmmk uchiteme, uchimung'unye Walah ahahaha...kaweka mamamba waone wizi....DUNIA IMEANZA LONG-TIME KUMEPAMBAZUKA LEOO...
Kikubwa kazi ziende bila uhuni
Wanasema hii ndio timu ya DOGE View attachment 3228754
Sio Elon tu mkuu, hiyo ndio "KAZI" ya big fishes, wanakuingiza chaka ununue kwa bei ya juu wakati wenyewe wanauza na uuze kwa bei ya chini wakati wenyewe wananua! Jifunze jinsi ya kuogelea nao, nenda na mdumdo wao hutakuja tena hapa kumlaumu Elon (hapo siyo kwenye crypto,wala FX, wala Commodity...kote huko mchezo wao ni huo maana wao wanaweza kuona pande zote za soko na Wana mitaji ya kupeleka soko wanapotaka liendeKuhusu kuwa mhuni naunga mkono hoja. Jamaa mjanja mjanja na bingwa wa kucheza na masoko hasa cryptos. Bila shaka anatabia ya pump-and-dump baada ya kuzipa hype wajinga wakajaa zikapanda bei.
Hapo kwenye conflict of interest ya kupitia tendors za makampuni na serikali wakati yeye mwenyewe kampuni zake nazo zina tenda na serikali ndipo panachekesha.
Nimemzungumzia Elon kwa sababu now ni master wa kuhype vitu. Twit yake moja tu inaweza kufanya thamani ya coin fulani kupanda. Unakumbuka hype aliyozipa dogecoin na shiba inu?Sio Elon tu mkuu, hiyo ndio "KAZI" ya big fishes, wanakuingiza chaka ununue kwa bei ya juu wakati wenyewe wanauza na uuze kwa bei ya chini wakati wenyewe wananua! Jifunze jinsi ya kuogelea nao, nenda na mdumdo wao hutakuja tena hapa kumlaumu Elon (hapo siyo kwenye crypto,wala FX, wala Commodity...kote huko mchezo wao ni huo maana wao wanaweza kuona pande zote za soko na Wana mitaji ya kupeleka soko wanapotaka liende
Anapitisha misamaha kwa watu wake, familia yake na yeye mwenyewe kama alivyofanya Biden.Hadi miaka minne iishe, Trump atakuwa ameharibu pakubwa.
Wakija kuongoza Democrats wanaweza kumshtaki.
Na Mimi nimekupa uzoefu WA jinsi mchezo huu haujaanza na Elon, ni wa kitambo Tu na sio kwenye cryptocurrency Tu!Nimemzungumzia Elon kwa sababu now ni master wa kuhype vitu. Twit yake moja tu inaweza kufanya thamani ya coin fulani kupanda. Unakumbuka hype aliyozipa dogecoin na shiba inu?
Jamaa ni master wa promises...
Of course najua si yeye tu ila nimemwongelea alivyo mjanja mjanja. Wajanja siku zote wapiga pesa kama ilivyo kuwa hype ya NFTs. Kuna watu wamepiga ela za wajinga kwenye NFTs na kuwaacha na vitu visivyo na thamani walivyo vinunua kwa hundreds of dollars.Na Mimi nimekupa uzoefu WA jinsi mchezo huu haujaanza na Elon, ni wa kitambo Tu na sio kwenye cryptocurrency Tu!
Nikakupa na ushauri wa jinsi ya kukwepa mtego huo.....
Usifuate mkumbo, usifuate habari/tweet
Kuna mbunge wa huko Marekani anasema yanayoendelea huko ni sawa na some "banana republic shit".Kumbe? Hii sijakutana nayo maana ya kusimamishwa nimekutana nayo asubuhi asubuhi.
Sasa za US zimebadilika sana kuna na visasi ndani yake. Naona soon itakuwa sawa na CCM na Chadema inavyokuwa hapa nchini.
Bado Trump hajamaliza na nilisikia ana mpango wa kuwaondolea ulinzi viongozi wastaafu akidai waajiri walinzi wao binafsi. CIA amewapa option ya kustaafu wapewe malipo ya miezi nane au wasubiri kuachishwa kazi.Kuna mbunge wa huko Marekani anasema yanayoendelea huko ni sawa na some "banana republic shit".
Kama ni huyu hapa usimsikilize, hahaha!Kuna mbunge wa huko Marekani anasema yanayoendelea huko ni sawa na some "banana republic shit".
AMMA!!!?Bado Trump hajamaliza na nilisikia kawaondolewa ulinzi viongozi wastaafu. CIA amewapa option ya kustaafu wapewe malipo ya miezi nane au wasubiri kuachishwa kazi.
Jamaa kaanza kuajiri wahuni wa mitaani kwenye kazi ya kupekua taarifa nyeti za serikali na walipa kodi wa AMERICA! š¤£
Miongoni mwa wahuni alioajiri Musk kwenye kitengo chake cha kudhibiti utendaji swafi wa serikali, aka DOGE, ni 'hacker' mmoja mwenye umri wa miaka 19, kwa jina Edward Coristine anayetambulika zaidi kwa jina lake la kihuni mitandaoni la 'BIG BALLS'!
Wakubwa hawajafurahishwa kabisa, hasa FBI, PENTAGON na CIA, kupekuliwa taarifa zao na wahuni wa mitaani akina 'BIG BALLS' na wenzie wengi! š¤£
USA KUMOTO!
View: https://youtu.be/R1w6k5yitUU
View: https://youtu.be/sRtyM24MPls
AMMA!!!?
š¤£
Bado hawajasema![]()
CIA offers buyouts to employees as Trump aims to transform federal government
CIA employees have received letters offering them buyouts if they volunteer to resign.www.cbsnews.com
SHORT & SWEET!