Pesa wanadai zinapigwa na wamarekani wenyewe kwa miradi ambayo haina tija na mingine fake.Sijaelewa rudia tena
Ndiyo maana kama umefuatilia vyombo vya habari wanashangaa miradi iliyokuwa sponsored na USAID mfano dola milion 50 kwenda kununua condom gaza, dola milioni 200 kusaidia kilimu afghanistan sasa wanasema walikuwa wanasaidia kilimo cha zao linalotengeneza cocaine au maana ndicho kilimo kikubwa huko.