babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,173
Elon Musk ametoa ofa ya kuinunua kampuni ya Twitter kwa dola 54.20 kwa kila hisa. Hii ni ongezeko la asilimia 38 tangu tarehe 1st April Twitter alipotangaza amenunua asilimia 9.
Elon mwanzoni mwa wiki hii alikataa maombi ya kujiunga na bodi ya Twitter. Wataalamu alitafsiri kukataa kwa ilo ombi ni hatua ya kutaka kuinunua Twitter kwa asilimia 100 ambapo wana bodi hawa ruhusiwi kumiliki zaidi ya hisa asilimia 15.