Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
🤣🤣🤣jamaa baguzi sana lile,na anarudiBora trump arudi twitter,
Sitasahau alivyosema "African are lazy, good at sex, theft".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣jamaa baguzi sana lile,na anarudiBora trump arudi twitter,
Sitasahau alivyosema "African are lazy, good at sex, theft".
Trump ni chizi aisee,hakuna ubaya mkuu
Kwa habari zilizopo sasa Yule tajiri Namba Moja Duniani Bw Elon Musk yuko mbioni kukamilisha Ununuzi wa kampuni ya Twitter
Ingawa imeleta mitazamo tofauti miongoni mwa watu kuhusu ununuzi huo.
View attachment 2200477
View attachment 2200478
View attachment 2200479
Kwa yule jamaa alivyo hawezi kuwa nyuma ya yoyote.Wasiwasi asiwe nyuma ya Trump tu
Trump msema ukweli na sio mnafiki.Bora trump arudi twitter,
Sitasahau alivyosema "African are lazy, good at sex, theft".
Trump so far account yake iko Suspended twitter,Unakumbuka kuna kipindi alisemaga kuanzisha social Platform yake?,of course haiwezi kuwa ya trump,ila kwa namna Musk na maneno yake,trump soon anarudi twittani
Elon musk anamrudishia mpaka urais wakeKwa yule jamaa alivyo hawezi kuwa nyuma ya yoyote.
Kwako wewe ni uzuri au ubayaUzuri wa matajiri wa dunia hawataki hata wanawake,
Ngoja tuone
... kupendapenda sex ni matumizi mabovu ya brain. Jamii ambayo at least 5% ya working time ya jamii inatumika kunyanduana ni absolute poverty.Uzuri wa matajiri wa dunia hawataki hata wanawake,
Ngoja tuone
Ukisikia neno "playboy" basi ndio huyu jamaa, ana amepita na wanawake kama wanne public na ana watoto 8.Uzuri wa matajiri wa dunia hawataki hata wanawake,
Ngoja tuone
Truth Social inapatikana App Store lakini imekuwa haifanyi vizuri.App ya Trump “Truth” ipo kwa ajili ya watu wa US now kwasisi wa nanjilinji huwezi kutumia.
Joe Biden bado amelala!Elon Musk says he would reverse Twitter's 'foolish' ban on Donald Trump
The tycoon said: "Permanent bans should be extremely rare and really reserved for accounts that are bots or spam, scam accounts. I do think it was not correct to ban Donald Trump. I think that was a mistake because it... did not ultimately result in Trump not having a voice."
SOURCE: Sky
[\QUOTE]