Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Daaah hapa anajadiliwa Tajiri kutokua na Nyumba wacha nitoke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu punguza hasira,sijasema kwa ubaya huo ni mfano tu.Na wewe kenge ukaona utolee mfano walimu waliokupunguza ujinga
[emoji28]Daaah hapa anajadiliwa Tajiri kutokua na Nyumba wacha nitoke...
😂😂😂 we sio Elon musk bhana,Kumbe Mimi ninayekaa kwetu ni powa tu?
Baba Mimi sihami hapa ndio kwetu niende wapi?
Elon kumbe hana tofauti na nswahili tu.Devils worshiper huyo apuuzwe,hana nyumba ila analala 5 star hotel,presidential suit,ofisi yake iko customised kuacomodate familia
Ni kama hana kazi vile sawa na Chawa tuHuyu jamaa Yuko kama Mo, tajir Gani unakuwa unaropokwa tu
Hata siku moja hawasemi ukweliUsiwaamini sana waliofanikiwa.
Usiwaamini sana waliofanikiwa.
Mbona Rizi moko nae hana hata gari, gari anazoendesha huwa anaazima kwa marafiki zake wa karibu!!Jomba ana majumbaa, na makampuni makubwa.
[emoji117]Ashindwe sehemu ya kuishi[emoji1787][emoji23]
Elon Musk(50) tajiri namba 1 duniani amesema hadi sasa hamiliki nyumba yoyote hata kulala huwa analala kwa marafiki zake licha ya utajiri wake kukadiriwa kuwa zaidi ya dola bilioni $200.
Amesema hana interest sana na material things, kitu cha kifahari alichonunua ni ndege ambayo inamsaidia kufanya kazi zake vizuri.
Tajiri huyo namba moja duniani pia amesema hamiliki yatch wala sio mtu wa kusafirisafiri kwenda nchi hii au nchi ile kwa ajili ya mapumziko na kula bata ambao ni mtindo wa maisha uliozoeleka kwa matajiri wengi wakubwa duniani.
Sent using Jamii Forums mobile app