Elon Musk: Similiki Nyumba nalala kwa marafiki

Elon Musk: Similiki Nyumba nalala kwa marafiki

Hii ndagu yake ni ya mkete au namanyele mana 🙌 il shart ni zto ata kijana fresh from colage uanza na geto kwanza na apo hana harakat ya uhakika wa kumuingizia kipato
 
Devils worshiper huyo apuuzwe,hana nyumba ila analala 5 star hotel,presidential suit,ofisi yake iko customised kuacomodate familia
Elon kumbe hana tofauti na nswahili tu.
Matamko yake sijui ana lenga nini
 
Elon Musk(50) tajiri namba 1 duniani amesema hadi sasa hamiliki nyumba yoyote hata kulala huwa analala kwa marafiki zake licha ya utajiri wake kukadiriwa kuwa zaidi ya dola bilioni $200.

Amesema hana interest sana na material things, kitu cha kifahari alichonunua ni ndege ambayo inamsaidia kufanya kazi zake vizuri.

Tajiri huyo namba moja duniani pia amesema hamiliki yatch wala sio mtu wa kusafirisafiri kwenda nchi hii au nchi ile kwa ajili ya mapumziko na kula bata ambao ni mtindo wa maisha uliozoeleka kwa matajiri wengi wakubwa duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
1741027731703.png
 
Back
Top Bottom