Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.
Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.
Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.
Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)
Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz
NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]