Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Shida ya Watanzania ni moja tu..kitu cha kwanza tunachowaza baada ya kuskia mke Roboti ni suala la ngono tu, yawezekana ikawa ni kwa masuala yanayohusu kupika na kusafirisha nyumba tu, hayo ya usiku unatafuta mwanadamu halisi.
 
Awapi Mkuu.....kupika hata ww unajua .... mwanamke yupo Kwa ajili ya tendo
 
Back
Top Bottom