Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Anajua kuiminyia kwa ndani
 
Nasikia kuna sehem ya kuadjust ukitaka bikra unaseti hapo hadi damu unaziona ukitaka kisima kuna sehemu unaweka maji kabisa yaani ukichomeka na yenyewe yanaanza kumwagika ukitaka bwanga unaseti tu linakua kama hizi za mitaani pia kuna sehemu ya kusetia joto nimekaa nawaza nikiseti kabikra af nikaset joto had nyuzi 80 kitendo nachomeka kwa usongo tako 1 ya pili sirudii kudadeeek wapunguze bei aseee

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Bro angalia izo picha kwa makini sio halisia
 
huyu jamaa ni mpumbavu sana, na nikimwangalia hata kama ni kwenye picha tu, huwa naona sura ya shetani ipo usoni kwake, sio mtu wa kawaida. hawa watu wenye pesa ndefu huwa na mikataba ya mashetani ya kuharibu ubinadamu. imagine mtu anasema anatengeneza mwanamke wa kuoa ili watu wasioe binadamu halisi waowe midoli, wafanye ngono na midoli. huyu ni shetani halisi hapo amevaa tu huo mwili wake ila ndani yake ni shetani mwenye mapembe kabisa.
 
Screenshot_20230521-204058.png

Leo hii, Elon Musk kaidhinisha kwamba anatengeneza Robot mwanamke. Awe kama mke kwakwe.

Habari hii imeidhinishwa mpaka na Google mechanic's hii team nzima inayo usika na usambazaji wa vifaa vya maroboti..

Elon kasema, lengo lakutengeneza robot wife huyu ni kwaajili ya kukidhi ndoto yake, ambayo naisi hamna binadamu anae ishi hii sayari anaiota, yakumpata mwanamke mwenye vitu vyote unavyovitaka wala asiwe na mapungufu ya aina yoyote😐

Kulingana na Elon, kasema robot huyu atakua full secured ikiwa atakua akilindwa na finger print, na pattern, etc.
Robot hili litaitwa katalena. Kukingana na Elon kasema katalena atakua na sensor zote zikiwa balanced, ambapo robot katalena ataweza kununa na kuhuzunika pale atakapo kwazwa, na pia ataweza kujielezea sababu ya huzuni na mafazaiko yake bila shaka yoyote.

Elon musk huko tweeter tuu baada ya kupost post hiyo apo juu aliifuta baada ya masaa machache..
Ila google wame confirm kwamba ni kweli na mzigo utaachiwa September2023,, ila AFRICA utakuja november 2023.
Screenshot_20230521-202549.png

Kulingana na google wameongezea kwamba eti.
"Robot katalena atakua na character zote zakike, vilevile pia atawekua anaingia menstrual siku tatu,,,ikimaanisha kwamba akiwa menstruation atakua yupo charge. Means utamchaji siku tatu na kumtumia mwezi mzima🤔

Kukingana na baazi ya comments uko tweeter. Wengi wanashangaa ni inakuaje afanye hivi?
Wengine wakilaumu kwamba anajiisi ni mungu labda!

Wengine wakisema kamwe hawezi kutengeneza kitu chenye mfano wa mwanamke.

Ila ukweli ni kwamba kuna namna yakua makini sana na izi AI, tena tuwe makini sana.. Maana hii kitu inakuja na iko serious kwanzia ELON MUSK alivyo tengeneza robot "optimus".

Wakuu huyu jamaa sio wa planet earth..lazima kuna sayari katokea🤔
 
Nasikia kuna sehem ya kuadjust ukitaka bikra unaseti hapo hadi damu unaziona ukitaka kisima kuna sehemu unaweka maji kabisa yaani ukichomeka na yenyewe yanaanza kumwagika ukitaka bwanga unaseti tu linakua kama hizi za mitaani pia kuna sehemu ya kusetia joto nimekaa nawaza nikiseti kabikra af nikaset joto had nyuzi 80 kitendo nachomeka kwa usongo tako 1 ya pili sirudii kudadeeek wapunguze bei aseee

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hyo Hapana mkuu
 
huyu jamaa ni mpumbavu sana, na nikimwangalia hata kama ni kwenye picha tu, huwa naona sura ya shetani ipo usoni kwake, sio mtu wa kawaida. hawa watu wenye pesa ndefu huwa na mikataba ya mashetani ya kuharibu ubinadamu. imagine mtu anasema anatengeneza mwanamke wa kuoa ili watu wasioe binadamu halisi waowe midoli, wafanye ngono na midoli. huyu ni shetani halisi hapo amevaa tu huo mwili wake ila ndani yake ni shetani mwenye mapembe kabisa.
Ni kweli ni kama musk kaja kuutimiza unabii[emoji23]
 
Mchina aje nalo la bei tatizo hawana figure ya kibantu....
 
Back
Top Bottom