Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

AI generated images hizo, upungufu wa akili shida sana
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
 
Linabana miguu hapo adi ulifungue na spana, ukilifungua K inagawanyika vipande vipande itabidi unuse hivyo vipande upate stimu. Au linakuchanulia miguu linakufinyia kwa ndani. Maumivu yake sasa ukibanwa hiyo naniliu yako utaomba ufe upumzike maumivu makali fikiria kidole kikibanwa kwenye mlango. Hilo kiboko ya wabakaji maaninah zenu.
Nimeandika ujinga leo hadi najishangaa kulaa leki. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kula leki zako

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Duuh!
JF siku hizi inahitaji uwe na moyo.
Huyo mdau umemjibu hivi mwenyewe kachukulia cool japo nime-feel embarrassed mimi. Hiyo harufu babu ndiyo utamu wa KE.
Ndio kusema yeye ni binadamu halisi, ME wengi tunapatia stimu kwa hiyo harufu.
cc: Valentina
My dear muhenga huyo ni wakumsamehe bure tu

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Wadada wakiwa busy kupandikiza mimba ,,uko kuna mtu anatafuta mbadala
 
Duuuuh! Nilivyockia hiz abar is like woooooaaaahh!! Hatimaye sis madomokaya tumekumbukwa
 
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Hii ni aina mpya ya masturbation!
 
Kwa bei hii, wanaume wa Africa endeleeni kupenda wake zenu.
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Kwa bei hii wanaume wa Africa endeleeni kupenda wake zenu. Asante.
 
Back
Top Bottom