Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]View attachment 2625084
Hizi picha mbona kama ni CGI, source ya habari ni ipi...seems like AI generated image
 
Hilo liroboti si lina umeme haiwezekani siku unakula mzigo unapigwa shoti mpaka pumb zinapasuka
 
Linabana miguu hapo adi ulifungue na spana, ukilifungua K inagawanyika vipande vipande itabidi unuse hivyo vipande upate stimu. Au linakuchanulia miguu linakufinyia kwa ndani. Maumivu yake sasa ukibanwa hiyo naniliu yako utaomba ufe upumzike maumivu makali fikiria kidole kikibanwa kwenye mlango. Hilo kiboko ya wabakaji maaninah zenu.
Nimeandika ujinga leo hadi najishangaa kulaa leki. 😂
Likibana litakula kichapo liachie. Na haliwezi kushtaki popote shenzzake
 
Ngoja nitete wadada: mbususu ni asili tu na tamu kweli kweli tena ya joto la asili japokuwa changomoto zipo dronedrake 𝐑𝐎𝐁𝐎𝐓 𝐧𝐢 𝐚𝐫𝐭𝐢𝐟𝐢ci𝐚𝐥 na halina joto la asili, halina saut za mahaba, kama ni magonjwa utapata tu, siku ukilichoka utarudia mbususu ya asili, pia utashikwa ugonjwa wa akili kama mpiga nyeto. Halina staili za mapenzi, halifanyi kazi nyingenezo kama blowjob.
𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐭𝐮 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐧𝐮𝐧𝐮𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐡𝐮𝐨 𝐮𝐜𝐡𝐚𝐟𝐮.

𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐓𝐎 𝐏𝐑𝐀𝐂𝐓𝐈𝐂𝐄 𝒏𝒐 𝒇𝒂𝒑 𝒘𝒘𝒘.𝒏𝒐𝒇𝒂𝒑.𝒄𝒐𝒎

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hizi picha mbona kama ni CGI, source ya habari ni ipi...seems like AI generated image
Habari imesema " Elon musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia"

So it means hizo picha ni za sample
 
Ngoja nitete wadada: mbususu ni asili tu na tamu kweli kweli tena ya joto la asili japokuwa changomoto zipo dronedrake 𝐑𝐎𝐁𝐎𝐓 𝐧𝐢 𝐚𝐫𝐭𝐢𝐟𝐢ci𝐚𝐥 na halina joto la asili, halina saut za mahaba, kama ni magonjwa utapata tu, siku ukilichoka utarudia mbususu ya asili, pia utashikwa ugonjwa wa akili kama mpiga nyeto. Halina staili za mapenzi, halifanyi kazi nyingenezo kama blowjob.
𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐡𝐮𝐧𝐚 𝐭𝐮 𝐡𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐧𝐮𝐧𝐮𝐞 𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐡𝐞𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐡𝐮𝐨 𝐮𝐜𝐡𝐚𝐟𝐮.

𝐁𝐄𝐓𝐓𝐄𝐑 𝐓𝐎 𝐏𝐑𝐀𝐂𝐓𝐈𝐂𝐄 𝒏𝒐 𝒇𝒂𝒑 𝒘𝒘𝒘.𝒏𝒐𝒇𝒂𝒑.𝒄𝒐𝒎

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Lkn pia ...haliombi pesa
 
Back
Top Bottom