Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

muulizeni musk.mama yake angekuwa robot yeye angezaliwa?hii ndo ile ile mipango ya kupunguza watu duniani.maana wanajua tukigonga maroboti hakuna mtoto atazaliwa
Lkn hiyo haimzuii yeye kuwa creative
 
Africa atabaki kuwa na akili kama watapinga vitu vya kijinga kama sera za mapenzi ya jinsia moja na replacement ya ya mtu kwa robots ila wakiyakubali hayo marobot basi tu wapumbavu walewale tu.

Kama mwanaume anashindana na mwanamke kwa misuso na kukataana kama wao walivyoanzaga kutukataa basi hatuna akili na hekima kama wao, natunahitaji kuongozwa kama wao. Mama yangu, bibi yangu, dada zangu na ndugu zangu wakike hawezi fananishwa wala kuwa replaced na roboti aisee nitakuwa nimewadharau sana nanitakuwa sina akili kabisa. Aliyenibeba miezi 9 hawezi fananishwa na roboti. Ukiona pesa ya kuoa na kutunza mke huna, acha kuoa pia achana na mapenzi maana hamna shortcut in life, ukiona ipo ujue inakupeleka kwenye maangamizo.

Nahizi mada za kuwadharaulisha dada zetu kwakuwalinganisha na limashine lililotengenezwa na binadamu kiwandani naomba tuziache, tunawadharirisha kwavitu vingi sana ila huku tusifike kama wametuzidi pesa na akili mseme ila sio kuwatukana kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna muda.....huwezi kwenda against na technology
 
Nataka mwenye chura na awe anavaa kanga moja
Ripoti zinasema kwamba Elon Musk na kampuni yake wako kwenye hatua za mwisho za kutengeneza Mke wa Roboti.

Mke wa Robot atatumia betri ambazo hudumu kwa mujibu wa mzunguko wa hedhi. Betri zitachajiwa kwa siku tatu kamili pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja.

Kufanya mapenzi na Mke wa Roboti itahitaji Nenosiri, Mchoro au Alama ya Kidole ili kuepuka kukasirika.

Bei ya Mke Roboti itagharimu kuanzia Dola $32,000(Tsh.Milion 75.3) mpaka Dola $79,000(Tsh.Milion 186..)

Mke Roboti anategemewa kuingia sokoni September 2023 na mpaka kufikia Afrika inategemewa kuingia November 2023.
Source: Mula star newz

NB: wale introverts hatimaye tumekumbukwa[emoji23][emoji23]
 
Kwani robot akikasirika atafanyaje? Si bado atabakwa tuu?
Linabana miguu hapo adi ulifungue na spana, ukilifungua K inagawanyika vipande vipande itabidi unuse hivyo vipande upate stimu. Au linakuchanulia miguu linakufinyia kwa ndani. Maumivu yake sasa ukibanwa hiyo naniliu yako utaomba ufe upumzike maumivu makali fikiria kidole kikibanwa kwenye mlango. Hilo kiboko ya wabakaji maaninah zenu.
Nimeandika ujinga leo hadi najishangaa kulaa leki. 😂
 
Back
Top Bottom