Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

Elon Musk yupo hatua za mwisho kutengeneza mke bandia

ROBOTI LIKIFELI UNAPIGWA SHOTI UBOONI

ROBOTI UKIMWAGIA NDANI INABIDI ULISAFISHE

MWANAMKE ANAJISAFISHA YEYE

ROBOTI LINA UBARIDI WA VYUMA

MWANAMKE ANA JOTO
KATAA ROBOTI

KUBALI NDOAA

TUMIA GHARAMA
roboti linajisafisha automatically
 
Dah aiiiisee sema bei Iko juu tu, wapunguze wafanye million 5 tu Kila mtu ajinunulie
wewe subiri wachina watoe copy tu, na wachina si unawajua, wanaweza kosea kutengeneza wakati unakula tunda ukikosea neno siri badala roboti lichomoe mshubele wako la kichina likachakata mshubele wako kama soseji 🤣 🤣
 
wewe subiri wachina watoe copy tu, na wachina si unawajua, wanaweza kosea kutengeneza wakati unakula tunda ukikosea neno siri badala roboti lichomoe mshubele wako la kichina likachakata mshubele wako kama soseji [emoji1787] [emoji1787]
Hapo ndo hataree mkuu.....unakuta robot linakugeuza[emoji23]
 
muulizeni musk.mama yake angekuwa robot yeye angezaliwa?hii ndo ile ile mipango ya kupunguza watu duniani.maana wanajua tukigonga maroboti hakuna mtoto atazaliwa
 
Ukweli ni kwamba huu ni ubatili na ni chukizo mbele za mwenyezi Mungu, maana ni kinyume na uumbaji wa mungu na hawa wazungu ndio wanaotuletea haki ya wapenzi wa jinsia moja. Lengo ni kuzuia kizazi kisiendelee Maana ukiwa na hilo roboti hutazaa na na wanawake hawahitaji wanaume maana watanunua roboti la kiume.
 
Africa atabaki kuwa na akili kama watapinga vitu vya kijinga kama sera za mapenzi ya jinsia moja na replacement ya ya mtu kwa robots ila wakiyakubali hayo marobot basi tu wapumbavu walewale tu.

Kama mwanaume anashindana na mwanamke kwa misuso na kukataana kama wao walivyoanzaga kutukataa basi hatuna akili na hekima kama wao, natunahitaji kuongozwa kama wao. Mama yangu, bibi yangu, dada zangu na ndugu zangu wakike hawezi fananishwa wala kuwa replaced na roboti aisee nitakuwa nimewadharau sana nanitakuwa sina akili kabisa. Aliyenibeba miezi 9 hawezi fananishwa na roboti. Ukiona pesa ya kuoa na kutunza mke huna, acha kuoa pia achana na mapenzi maana hamna shortcut in life, ukiona ipo ujue inakupeleka kwenye maangamizo.

Nahizi mada za kuwadharaulisha dada zetu kwakuwalinganisha na limashine lililotengenezwa na binadamu kiwandani naomba tuziache, tunawadharirisha kwavitu vingi sana ila huku tusifike kama wametuzidi pesa na akili mseme ila sio kuwatukana kama hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom