Elon Mussa wa Kenya, aomba kukutanishwa na baba ake Elon Musk

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
31,913
Reaction score
65,514
Nanukuu
"Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk.

Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk alipotembelea hapa.

Sasa ninaishi katika umaskini uliokithiri licha ya baba yangu kuwa bilionea wa dola." amesema Kijana huyo kutoka Nchini Kenya .

Una maono gani msomaji🤔
FB_IMG_17103184816380984.jpg
 
View attachment 2933303
anapataje tabu wakati Elon mwenyewe ndio huyo Intelligent businessman tuko naye hapa jeifu?
 
Back
Top Bottom