binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Wampeleke kijana waache kukunja 😅😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama "mirembe" mojaEhh, Sema wame likamata🤣😂
View attachment 2933704
Kwa tulio mfatilia Sana musk, sura ni ile ya musk kijana kabisa😄Wampeleke kijana waache kukunja 😅😀
Wamesha mkamata🤣😂😄Mbona kama "mirembe" moja
Kanikimbusha nabii tito 🤣🤣
Kabisa kijana agongewe visa asepe 😂Kwa tulio mfatilia Sana musk, sura ni ile ya musk kijana kabisa😄
We kweli lafudhi ya kikenya, ume imaster😄.Kabisa kijana agongewe visa asepe 😂
Kenya enyewe sembe mtihani, stima mtihani kijana amechoka sima ya kubangaiza na managu 🤣
Bro! Mbosso anawezaje kuwa na mtoto kijana? 😂Ila wakenya....
Huko kina kijana anasema mboso ni baba ake, huyu nae wa musk
Huko kuna yesu wa tongareni.
Wakenya hapana asee
😀😀😀 tulia mdogo wangu.We kweli lafudhi ya kikenya, ume imaster😄.
Eti stima, sima na managu🤣
Shangazi shikamoo 😄😀😀😀 tulia mdogo wangu.
Bongo tuma Elen Mmasichina wa elong ma kenya wana elon mussa 😁😁