Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.
Alipofika kwa Rais wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja, Rais huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel.
"Umesema wewe ni Myahudi. Mimi nami ni Mmisri niliyekulia jirani na Wayahudi. Haijawahi kutokea Wayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya Uyahudi wao...."
Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda. Akiwa amenywea Blinken naye akasema;
"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"
Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden!
Yahoo News