Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Kamanda wa HAMAS anakuhitaji uende Gaza ukaongeze nguvu ya kupambana na WayahudiMungu wa kweli ni mmoja tu ambae hajazaa wala kuzaliwa.
Unamkumbuka Yesu alimuomna nani amuokowe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda wa HAMAS anakuhitaji uende Gaza ukaongeze nguvu ya kupambana na WayahudiMungu wa kweli ni mmoja tu ambae hajazaa wala kuzaliwa.
Unamkumbuka Yesu alimuomna nani amuokowe?
Kwani wayahudi wako gaza wanapigana kumbeKamanda wa HAMAS anakuhitaji uende Gaza ukaongeze nguvu ya kupambana na Wayahudi
Hapana kapigwa za uso ndio maana kama umemsikia leo Biden katika mahojiano lugha yote imebadilika, zile hamasa peleke meli sijui sisi na nyinyi tu leo anasema nawaonya Israel kuepuka uvamizi wa ardhini naomba Israel wajizuie, sio wa Palestine wote Hamas yaani anaongea utasema sio yule wa juzi. Vita vya siku hizi siokuwa na vifaru vingi kuna mbinu chafu kuliko vifaru na ndege.Aliyenywea kwenye picha ni presda Al sisi mbona kashika adabu zote kakunja na mikono😕
Amerudi Israel leo.Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.
Alipofika kwa Rais wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja, Rais huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel.
"Umesema wewe ni Myahudi. Mimi nami ni Mmisri niliyekulia jirani na Wayahudi. Haijawahi kutokea Wayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya Uyahudi wao...."
Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda. Akiwa amenywea Blinken naye akasema;
"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"
Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden!
Yahoo News
Upo sahihi.Kamanda wa HAMAS anakuhitaji uende Gaza ukaongeze nguvu ya kupambana na Wayahudi
bara la afrika linapotezq zaid ya watu elf 10 kila siku kisa ugaidi wa kiislamUlitaka amyoshee vidole?
Unaouona ndiyo Uislam "being humble" wakati wote.
Wangekuwa "Humble" wasingekuwa wanaua watu na kujilipua hovyo eti wanampigania mungu wao moja anayeitwa allah.Ulitaka amyoshee vidole?
Unaouona ndiyo Uislam "being humble" wakati wote.
Upo sahihi.Wangekuwa "Humble" wasingekuwa wanaua watu na kujilipua hovyo eti wanampigania mungu wao moja anayeitwa allah.