Elsisi wa Misri ampa za kichwa Blinken, imebidi arudi alikoanzia

Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.

Alipofika kwa raisi wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja,raisi huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel .

"Umesema wewe ni myahudi.Mimi nami ni mmisri niliyekulia jirani na mayahudi.Haijawahi kutokea mayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya uyahudi wao...."

Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda.Akiwa amenywea Blinken naye akasema

"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"

Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden

Egyptian President Says Israel Is Enacting ‘Collective Punishment’ on Gaza

View attachment 2783451
Eti ampa za kichwa Blinken [emoji23][emoji23]unapaswa kuwa mtunzi mzuri wa tamthilia zile za Bongo Movie.Unatuelezea as if hatufahamu nguvu kubwa za kimamlaka alizonazo Foreign Secretary wa US hasa akienda kwa hivi Vinchi vyetu.
 
Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.

Alipofika kwa raisi wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja,raisi huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel .

"Umesema wewe ni myahudi.Mimi nami ni mmisri niliyekulia jirani na mayahudi.Haijawahi kutokea mayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya uyahudi wao...."

Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda.Akiwa amenywea Blinken naye akasema

"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"

Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden

Egyptian President Says Israel Is Enacting ‘Collective Punishment’ on Gaza

View attachment 2783451
Unaongea majungu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.

Alipofika kwa Rais wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja, Rais huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel.

"Umesema wewe ni Myahudi. Mimi nami ni Mmisri niliyekulia jirani na Wayahudi. Haijawahi kutokea Wayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya Uyahudi wao...."

Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda. Akiwa amenywea Blinken naye akasema;

"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"

Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden!

Yahoo News
Mengine hayajawekwa wazi ila wewe unayajua! kwa nini tusiwe tunatumia japo akili kidogo?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Waislamu mnachekesha
Ww ni myahudi au mkristo mkuu....the real Jews wenyewe wanajitenga na huu unyama unaofanywa na serikali Yao.... kama ni mkristo hao Zionist wenyewe wanawaona wakristo, waislamu na watu wa dini nyingine kama malofa tu....yaani wao ndo raia wnye privilege zaidi kuliko mtu yyte hapa duniani...Sasa hzi shobo sijui zinatokea wapi....ukijaribu kupitapita mtandaoni huko ukaangalia wapo hdi wakristo wanalalamika kukandamizwa na Hawa jamaa....kwhyo hili siyo suala la kidini kabisa....ni suala la kiubinadamu zaidi...kinachosikitisha watu wanaanza kuangalia tukio la juzi kwa sababu ni kama mende kaangusha kabati kwhyo imekuwa story kubwa ila kabati siku zte linamkandamiza mende inaonekana ni kawaida kabisa....
 
Ushirika mbele ya dhulma uko karibu kuvurugika.Israel na Marekani wameshindwa kula na kipofu.
Elsisi kweli si mwema hata kwa waislamu lakini hapa ameona Marekani na Israel wanataka kumvunjia heshima yake na hawajaona kiasi gani amekuwa pamoja nao muda wote huo dhidi ya watu wake.
Blinken hakujua kuwa aliyokuwa akisema mbele ya mayahudi wenzake yanasikika na kila mtu duniani.Halafu anatoka akamdanganye Elsisi na Mohammed Salman na mfalme Abdalla. Hakujua kuwa hawa ndio wenye funguo za usalama wa Israel.
Funguo za usalama wa wayahudi,wanazo wenyewe.TATIZO LA WAARABU NI KWAMBA WAMEFELI KUWAFANYA WAYAHUDI KUA WATUMWA WAO TOKA ENZI ZA WARUMI NA MAKHALIFA WA KIARABU NA WATURUKI.
NA DINI YA KIARABU YA KIISLAMU IPO WAZI KUA MAYAHUDI NI WATUMWA NA VIJAKAZI WA MAARABU NA HAWATAKIWI KUA NA TAIFA LAO
 
Safari ya Antony Blinken mataifa ya kiarabu baada ya kuanza kuomboleza na Israel imegeuka dhidi ya matarajio yake.

Alipofika kwa Rais wa Misri ambaye huenda ndiye wanayemtegemea nambari moja, Rais huyo alimwambia wazi wazi akizingatia kile alichokisema Blinken alipokuwa na kiongozi wa Israel.

"Umesema wewe ni Myahudi. Mimi nami ni Mmisri niliyekulia jirani na Wayahudi. Haijawahi kutokea Wayahudi wakashambuliwa kwa ajili ya Uyahudi wao...."

Akaendelea kumueleza kuwa kinachofanyika sasa hivi ni adhabu ya jumla kwa jina la kujilinda. Akiwa amenywea Blinken naye akasema;

"Mimi nimekuja kama binadamu niliyesononeshwa na mashambulizi ya Hamas"

Kutokana na alichokiona kwenye ziara zake hizo ambapo mengine hayajawekwa wazi imebidi arudi Israel kabla kurudi kutoa jibu kwa Joe Biden!

Yahoo News

Ila binadamu mna visa
 
Ww ni myahudi au mkristo mkuu....the real Jews wenyewe wanajitenga na huu unyama unaofanywa na serikali Yao.... kama ni mkristo hao Zionist wenyewe wanawaona wakristo, waislamu na watu wa dini nyingine kama malofa tu....yaani wao ndo raia wnye privilege zaidi kuliko mtu yyte hapa duniani...Sasa hzi shobo sijui zinatokea wapi....ukijaribu kupitapita mtandaoni huko ukaangalia wapo hdi wakristo wanalalamika kukandamizwa na Hawa jamaa....kwhyo hili siyo suala la kidini kabisa....ni suala la kiubinadamu zaidi...kinachosikitisha watu wanaanza kuangalia tukio la juzi kwa sababu ni kama mende kaangusha kabati kwhyo imekuwa story kubwa ila kabati siku zte linamkandamiza mende inaonekana ni kawaida kabisa....
Mkuu kumbe kuna real jewish na real arabs!!Tupe elimu mkuu
NB: Hili suala ni la kidini kabisa sababu mpango kazi uliofeli wa waislamu na waarabu ni kuwafanya wayahudi kua watumwa wa waarabu.
 
Tupo mihangaikoni ila addiction ya JF tunachungulia mara moja moja...kuanza kuelezea mambo kwa kina inakuwa ngumu kidogo...ila kukusaidia mkuu pasi na kuegemea upande wwte tafuta taarifa kwa kina then ukweli wa mambo utaujua tu....mm binafsi mara ya kwanza nilikuwa naviweka vtu kishabiki sana ila nilipoanza kufatilia kwa kina basi dhahiri nikaona....ni kama Russia na Ukraine...ukiyatafuta maarifa kwa kina then utaelewa shida ni ya nani na kwanini wamefika hapa walipofikia...duniani hapa vyombo ya habari vingi sasahivi vinatumika sana kusukuma ajenda za wakubwa Ili kutu brain wash na uhalisia wa mambo tusiujue
 
Uhusiano wa Israel na Egypt ni unaenda mbali zaidi ya issue ya palestina, nchi km Egypt Iran turkey Zina their own geopolitical agenda hutumia issue ya palestina km mtaji, nchi nyingi sn zinanufaika na mgogoro huu kuwa wa Moja kwa Moja kuliko uishe bila wao kunufaika
 
Tupo mihangaikoni ila addiction ya JF tunachungulia mara moja moja...kuanza kuelezea mambo kwa kina inakuwa ngumu kidogo...ila kukusaidia mkuu pasi na kuegemea upande wwte tafuta taarifa kwa kina then ukweli wa mambo utaujua tu....mm binafsi mara ya kwanza nilikuwa naviweka vtu kishabiki sana ila nilipoanza kufatilia kwa kina basi dhahiri nikaona....ni kama Russia na Ukraine...ukiyatafuta maarifa kwa kina then utaelewa shida ni ya nani na kwanini wamefika hapa walipofikia...duniani hapa vyombo ya habari vingi sasahivi vinatumika sana kusukuma ajenda za wakubwa Ili kutu brain wash na uhalisia wa mambo tusiujue
Na vipi hii ajenda ya waarabu na waislamu ya kuwafanya wayahudi watumwa na vijakazi.Unaizungumziaje mkuu???
 
Katika ujasusi huwa ni rahisi sana kukutana na adui yako mkanywa kahawa.

Vita wanao teseka ni wanajeshi na wananchi ila viongozi wanapigiana SIMU kabisa na kuelezana vile wanachapana.

The wounded love.
 
Ulitaka amyoshee vidole?

Unaouona ndiyo Uislam "being humble" wakati wote.
Hata mngepewa dunia yote mkabaki waislamu au Waarabu peke yenu amani haitakuwepo.

Uislamu na mafundisho yenu Ni dini ya fujo, kisasi, dhuluma nk

Nenda hata misikitini Ni fujo.

Dini inayofundisha ushenzi kwa wengine
 
Qur'an 59:
21.
Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo mifano tunawapigia watu ili wafikiri. 21

22. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana. Yeye ndiye Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu. 22

23. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye tu. Mfalme, Mtakatifu, Mwenye salama, Mtoaji wa amani, Mwenye kuyaendesha Mwenyewe mambo yake, Mwenye nguvu, Anaye fanya analo litaka, Mkubwa, Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo mshirikisha nayo. 23

24. Yeye ndiye Mwenyezi Mungu, Muumbaji, Mtengenezaji, Mtia sura, Mwenye majina mazuri kabisa. Kila kilioko katika mbingu na ardhi kinamtakasa, naye ni Mwenye kushinda, Mwenye hikima. 24
 
Ulitaka amyoshee vidole?

Unaouona ndiyo Uislam "being humble" wakati wote.
Mimi Ni wa kwanza kumfuata Yesu duniani na mbinguni- Mtume Muhamad.

Hujachelewa nenda kanisa lililo karibu na wew ukamuabudu Mungu wa kweli. Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Nb: nimetimiza wajibu wa kukuokoa. Usijesema hukusikia au hukuambiwa.
 
Mungu wa kweli ni mmoja tu ambae hajazaa wala kuzaliwa.

Unamkumbuka Yesu alimuomna nani amuokowe?
 
Back
Top Bottom