Elvis Aaron Plesley (1935-1977) "VS" Michael Jackson (1958-2009)

Elvis Aaron Plesley (1935-1977) "VS" Michael Jackson (1958-2009)

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
3,519
Reaction score
2,055
wapendwa kuna mjadala mkubwa ambao unaendelea wa nani ni real KING kati ya hao ma LEGENDS hapo juu,KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi na pia GUINNESS RECORDS zimempa huyo,hila kiukweli KWA ukweli ulio wazi ni dhahiri kwamba ELVIS ni real KING kutokana na mambo mengi ambayo amefanya,upendo japokuwa akupewa promo kutokana na media kutokuepo enzi hizo but angekuwepo enzi za media mngeamini nacho ongea,na pia Michael amemuiga kila kitu Elvis kuanzia uvaaji,uchezaji,kula life styles hilimradi ampite tu Elvis,hila wapi ajaweza,kama una taka kuamini kasikilize jailhouse,Queen & loving rock n'roll by Elvis ndo utakubaliana na Mimi
Mimi nampa kula KING HIMSELF ELVIS AARON PRESLEY, wewe je?
 
MJ kakopi style ya Elvis ..na ndio role model wake
..na MTU aliemfanya MJ afanye anachofanya
 
acheni kumfananisha Mj na vitu vya kijinga aisee....
 
sio kweli ""
Hhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montana
 
Hhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montana
okay ..ngoja nifanye hivyo "" ila MJ ..yule Jamaa acha kabisaaa
 
Elvis Presley kakopi music kutoka kwa watu weusi. Style aliyofanya amechukua kutoka kwa Negros na mpaka leo analaumiwa kwa kushindwa kutoa credit. Huko nyuma niliwahi kuandika thread kuhusu hili ikakosa wachangiaji. Sasa hivi niko job, nnikitoka jioni, ntarudi tena hapa. Mimi sio fan wa MJ, lakini acha kumfananisha na mambo ya kijinga.
 
ELVIS ni real KING kutokana na mambo mengi ambayo amefanya,upendo japokuwa akupewa promo kutokana na media kutokuepo enzi hizo but angekuwepo enzi za media mngeamini nacho ongea,
Who's the KING kwenye Boxing kati ya Muhammad Ali na Mike Tyson?!

Tunaweza kuweka pembeni suala la uzito! Hapo ni nani mfalme wa Boxing kati ya Muhammad Ali na Floyd Mayweather?!

Who's the KING in football kati ya Pele na Cristian Ronaldo?!

Who's the KING kati ya Roman Empire na US?!

Who's the King kati ya Soviet Union na Russia?!
 
chige, you're drunk. Go home.
 
Boss ungeufanya huu mjadala uwe wa wazi....

Umeshahitimisha sasa sisi tuseme nn
 
KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi na pia GUINNESS RECORDS zimempa huyo,

wewe je?

Mkuu kama umefanya tafiti na kugundua kwamba wanampa Michael Jackson, na Umesema Guinness Records pia wanampa Michael Jackson.

Mimi binafsi sina sababu ya kufinga tafiti pasopo kufanya tafiti, naungana nao moja kwa moja.

Pia sina akili za kupingana na Guinness Records.
 
Michael alikua anafanya Pop Music tofauti na Elvis.. Na bahati nzuri Legends Wote hao hawajawahi Kufanya Music kama Mashindano..Music ni Elimu,Burudani na pia ni Maisha..
Unaweza Kudhani Wanaigana Lakini Kipindi hiko Kuhusu Uvaaji ,Ongeza James brown,Prince..nk ..na Wote wanavipaji..
Kwenye Music huwa hakuna nani zaidi..Kila Musician ana Watu wanaomkubali Kwa Kazi Zake..
Mashindano yako kwa wasiyojua Music (mnawaita Wasanii)
 
Hhaha mfatilie,,afu jamaa alikua Mafia,angalia nyimbo ya Rick Ross..inaitwa Elvis Presley.. Pia nahisi hata movies za al Pacino wame mportait Elvis,, au tony Montana
Elvis alikuwa Mafia lini? Usije ukawa unamchanganya na Frank Sinatra.
 
Back
Top Bottom