Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
wapendwa kuna mjadala mkubwa ambao unaendelea wa nani ni real KING kati ya hao ma LEGENDS hapo juu,KWA utafiti ambao nimeufanya nimegundua wengi wanampa kula Michael Jackson sijui KWA kigezo kipi na pia GUINNESS RECORDS zimempa huyo,hila kiukweli KWA ukweli ulio wazi ni dhahiri kwamba ELVIS ni real KING kutokana na mambo mengi ambayo amefanya,upendo japokuwa akupewa promo kutokana na media kutokuepo enzi hizo but angekuwepo enzi za media mngeamini nacho ongea,na pia Michael amemuiga kila kitu Elvis kuanzia uvaaji,uchezaji,kula life styles hilimradi ampite tu Elvis,hila wapi ajaweza,kama una taka kuamini kasikilize jailhouse,Queen & loving rock n'roll by Elvis ndo utakubaliana na Mimi
Mimi nampa kula KING HIMSELF ELVIS AARON PRESLEY, wewe je?
Mimi nampa kula KING HIMSELF ELVIS AARON PRESLEY, wewe je?