Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Email na website haijitegemei kwamba isifungamane na upande wowote ili sasa tume itoe taswira ya kilichotokea pasi na kuegemea upande wowote. Sasa kinachoonekana ni Dulla anamtafuta Abdalla. Maana anayetuhumiwa ni serikali so inamtafuta huyo serikali anayetuhumiwa.
Pia inamaanisha kwamba wanakusanya taarifa za watumaji kwa kutaka watumaji wawasiliane nao kwa emails na namba za simu.
Pia inamaanisha kwamba wanakusanya taarifa za watumaji kwa kutaka watumaji wawasiliane nao kwa emails na namba za simu.