Email App

Email App

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu naomba mnisaidie Email Application ambayo itanisaidia kuona mambo mbambali.

- Blue tick kama mtu husika ameifungua na kusoma Email yako niliyomtumia(Kama ilivyo kwa WhatsApp au Fb Messenger)

- Tick za kuonesha email imeenda lakini haijafunguliwa

- Na status zingine nyingi nzuri.

Actually napenda sana kutumia Email kwa mambo yangu mbalimbali.
Nisaidieni hiyo App yenye uwezo huo..
Asante
 
Zipo nyingi mkuu ila jaribu NEO... kuna baadhi ya maswali yafaa yawe yanaanzia Google na ukiona umekosa jibu huko ndio unajua swala lako ni jipya then unakuja kutafuta ufumbuzi kwa mtu mmoja mmoja hapa JF.
 
System/standard ya email haina uwezo wa kuona kama imefunguliwa, kwa kifupi ni kama barua za karatasi wewe unatuma ila hauna control ukishatuma na hakuna central system ambayo ina control kama WhatsApp/Meta/FB kuna njia zinatumika kujaribu kulizunguka hili ila zinahitaji ushirikiano wa mpokeaji.
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom