Duu [emoji41][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakizindua eMGEGEDANO nistue mkuu...
Hii nzuri, itawaanika wazi watendaji wakuu na ma HR waliojipa umungu mtu.......kongole kwa waziri.Unamuachia kama ni malalamiko pongezi nk then unapewa namba ya malalamiko yako kisha utafuatilia kupitia namba hiyo. Ni mfumo mzuri kama watakua wanarudisha feedback
Watakuwa na inferiority complex kuwatumikia watumishi wanaowapiga gap kwenye mshahara....Nafikiri kwa watendaji wa serikalini maafisa utumishi wana roho mbaya sana
Mimi sina haja ya kujificha, nawalipua na bado watajua ni mimi niliyewalipua....Iko sehemu ambayo inakuruhusu kutuma bila kutambulika wewe ni nani, so unatupa bomu lako then unasepa unawaacha wanahangaika lkn upande wako umewapa ukweli
[emoji28][emoji28][emoji28]Ukishabofya hapo ndo waziri anaongea na wewe? au changa la macho tu.....
Watawezana? Wataalam wa IT wanaowakutosha kuhandle mfumo?Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki. Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi? Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na kufanyia kazi malalamiko ya watumishi na wananchi na kutoa mrejesho au ndo tunaendelea kuanzisha mambo tusio na uwezo nayo?
Karibu tujadili
View attachment 1837756
Sasa roho mbaya ni ya nini ikiwa na wenyewe wanalipwa mishahara stahiki....yaani mtu anambania mtumishi kupanda daraja bila sababu yoyote ya msingi.K
kwamba maafisa utumishi mishahara yao ni midogo kuliko watumishi wengine? Ufafanuzi tafadhali
Juzi katika nilikuwa naongea na Mkurugenzi wa halmashauri fulani akanambia maafisa utumishi wana roho mbaya sana hawapendi kuona watumishi mambo yao yanaenda poaSasa roho mbaya ni ya nini ikiwa na wenyewe wanalipwa mishahara stahiki....yaani mtu anambania mtumishi kupanda daraja bila sababu yoyote ya msingi.
Asante bossIngia playstore search 'e-Malalamiko' utaikuta hiyo app