Embu nishaurini

Embu nishaurini

Za jioni natumai wote mmekula na kushiba!

Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende two yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you

Natamani nimpendeeeeee sna mda wote niwe nae karibu

🤣🤣🤣
 
Kuna kawimbo hii week kamenikaa kweli kweli
Kila nikisikiliza namiss kufall in love [emoji23]

‘Sasa hivi by V-be ft Ashley music na kuna ile remix waliyofanya na Nandy

Bas tupendane [emoji3059]
 
Back
Top Bottom