Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

Kwani TANU kabla ya Uhuru ilifanya nini hadi watanzania wakaiamini kwenye kuipa uongozi???

Maendeleo yapi unayasema wakati Magufuli alikuta sukari inauzwa 1800 saivi tunanunua 2800-3000??
Ongezeko Holi no Tanzania pekee? Nchi nyingine hakuna ongezeko la bei za bidhaa?
 
Sasa kwa nini msikengeuke kabisa kuliko kuwa popo? Unafiki ni dhambi kubwa sana.
 
Kama ingekuwa hivyo, hata hiki chama kingine kingekumbana na kadhia hiyo maana kingekuwa na wengi wenye damu iliyochanganyika na bluu.
 
Kama Membe anasema atashinda iweje Lisu asishinde.
Ni mgombea yupi aliyesema hatashinda.

Magufuli kasema ,
Membe kasema
Lisu kasema
Lipumba kasema.
Rungwe wa Ubwabwa naye atashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…