Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Shida Nini tenaNiko poa kabisa...nipo nimepwalala tu kama nasubiri kuchomwa sindano ya UTI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida Nini tenaNiko poa kabisa...nipo nimepwalala tu kama nasubiri kuchomwa sindano ya UTI
Wee hawa ni wajinga bwana ukizubaa unakuwa mfukonwa cement wameuficha chini ya mchanga. Ni kukaa nao benet tuuUbahili huo,acha.unashinda site kuwapatia tope wakati we ni boss.... Yaan boss umechoka kuliko vibarua...eti naenda kulala..khaa
Kicheche huyu🤣sant anne
Nkamu bora umerudisha hili jinaSaint Anne cute Valentina anakuhitaji tafadhali
Ngoja niitafuteAvatar ipi mom
Zinazoweza kutatuliwa na mwanaume?Bas tu shida za hapa na pale
Ha ha haa,swali lako limekaa kihuni sana 😂
😅naomba ujibu kwa jinsi ulivyoelewaHa ha haa,swali lako limekaa kihuni sana 😂
Kwahiyo niache kimbelembele? 😅No,zinatatuliwa na Mimi tu
Wakati mzuri sana😋Hapana,tupo pamoja...mfano usiku huu tupo peke yetu macho