Embu tuchat wawili wawili humu

Embu tuchat wawili wawili humu

Sijui labda,si unajua nishawahi wekwa ndani kama mama watoto hivyo kupitia matumiz ya voda iviivo ....so kuachiwa majukumu na kupandishwa kwa bei za vifurushi siamini tena kuhusu kuwekwa ndani tena....sema ili nisijiumize sana ngoja nitafute line ya mchongo ambayo itanisaidia mawasiliano mpaka nitakapochoka kuitumia
Muhimu sana hio maana maisha bila kifurushi inakuwa ngumu. Kuna muda unamiss kupiga simu inabidi ujiunge hata cha week tu uweze kujiliwaza
 
Sure yaan nisijewehuka,sema kuna kipindi nilipata line mpya ila kuna line ingine nikashawishika nayo nayo ikajua kunishawishi na kunituliza kichwa nikaiacha ile mpya nikawa naiskilizia hii ingine niliyoshawishika....aisee kumbe kijipu uchungu tu kumbe nayo inasikilizia(niliteseka kijinga,sema kuna akili ilisema tumia mbinu Fulani mchongo ukitiki ndo ujichomeke mazima usijerudi kulekule....ni kweli bana majibu hayakuchelewa...ni chap nikasanukia maana nilikuwa naelekea kujicock kweli) πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‰
 
SAA 12 ngoja niamke nijiandae kwenda kwa job mkuu....baadae MPE hi your forever friend (just respect her)
 
Ulikuwa umeshaanza kujisahau tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inaonesha kifurushi kilikuwa na MB nyingi sana ukajiachia zako kumbe kifurushi cha offer tu...Lazma uwe mjanja kuchagua kifurushi sahihi, vya siku vizuri ila vinawahi kuisha bora vya mwezi japo MB chache
Sure yaan nisijewehuka,sema kuna kipindi nilipata line mpya ila kuna line ingine nikashawishika nayo nayo ikajua kunishawishi na kunituliza kichwa nikaiacha ile mpya nikawa naiskilizia hii ingine niliyoshawishika....aisee kumbe kijipu uchungu tu kumbe nayo inasikilizia(niliteseka kijinga,sema kuna akili ilisema tumia mbinu Fulani mchongo ukitiki ndo ujichomeke mazima usijerudi kulekule....ni kweli bana majibu hayakuchelewa...ni chap nikasanukia maana nilikuwa naelekea kujicock kweli) πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‰
 
Ulikuwa umeshaanza kujisahau tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ inaonesha kifurushi kilikuwa na MB nyingi sana ukajiachia zako kumbe kifurushi cha offer tu...Lazma uwe mjanja kuchagua kifurushi sahihi, vya siku vizuri ila vinawahi kuisha bora vya mwezi japo MB chache
Kupenda,kupenda mkuu,haikuwa na Mb zozote sema mamanz sometimes tunapenda kiboya mno
 
Back
Top Bottom