Acha kulazimisha mambo, ndio maana huwa mnapigwa peupe. Mchakato kama kuanza, utaanza ulipoishia kwenye katiba pendekezwa.Tunataka rais atakayekubali katiba mpya, tena ile ya rasimu ya Warioba
Muhimu kuangalia background na malezi pia Ili kupata mtu sahihiTunataka rais atakayekubali katiba mpya, tena ile ya rasimu ya Warioba, aheshimu maoni ya watu, na asijigeuze kuwa Mungu mtu kwa kiburi cha madaraka.
Kwanini hamuitaki rasimu ya Warioba?Acha kulazimisha mambo, ndio mana huwa mnapigwa peupe. Mchakato kama kuanza, utaanza ulipoishia kwenye katiba pendekezwa.
kwa nini hamuitaki katiba pendekezwa?Kwanini hamuitaki rasimu ya Warioba?
acha kulazimisha mambo,ndio mana huwa mnapigwa peupe
Mchakato kama kuanza,utaanza ulipoishia kwenye katiba pendekezwa
Hatutaki kwasababu iliyatupilia chooni maoni ya wenye nchi/wananchi ikachukua maoni ya wana CCM.kwa nini hamuitaki katiba pendekezwa?
Katiba inatakiwa kabla ya kupata Rais mpya, bila katiba mpya Jiwe ataweka boya lake na ndio litakuwa Rais.Tunataka rais atakayekubali katiba mpya, tena ile ya rasimu ya Warioba, aheshimu maoni ya watu, na asijigeuze kuwa Mungu mtu kwa kiburi cha madaraka.
Uhuru upi wa kujiamulia utakalo. Fool vision"Mwisho wa uchaguzi mkuu mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mkuu mwingine" JAKAYA KIKWETE...
Huyu aliopo mwenyewe katushinda tabia tuanze kujadili meli airportNgoja atoke kwanza huyu, tusijejadili kisichokuwepo
Ndugu nakuonea sana huruma juu ya uwezo wako wa kuchambua mambo ya siasa (japo una uhuru huo wa kufanya hivyo)."Mwisho wa uchaguzi mkuu mmoja ni mwanzo wa uchaguzi mkuu mwingine" JAKAYA KIKWETE.
Je, Rais wetu 2025, awe mtu wa aina na sifa zipi? Hapa chini natoa baadhi kwa maoni yangu. (nawe toa yako);
1) Awe na sifa, uzoefu na uwezo wa kusimamia vyema tunu za taifa kwa manufaa ya wote. Mfano amani, haki na usawa, uhuru, umoja, utawala bora na muungano wenye tija.
2) Atoke CCM ila asiwe mhafidhina wa U-CCM ule ulioathiri taifa na kutufanya kuendelea kuwa maskini miaka 59 toka tupate uhuru, Kwa maoni yangu upinzani kwa mwaka 2025 hautaweza kuaminika kuchukua dola kwani mifumo ya ndani ya vyama bado ni dhaifu na pia mifumo nje ya vyama bado ni hatarishi kuweza kuvipa vyama hivyo smooth operation.
3) Awe muislam na mwenye mawazo huru. Hapa sizungumzii udini, nazungumzia life principles. Kwa maoni yangu viongozi wa kiislam wanaonesha sana kusikia na kujali vilio vya watu. Tumeona kwa awamu zake nchi hii. Nina imani kwa maumivu yaliyopo sasa, kiongozi wa aina hiyo atatufaa sana.
3) Awe kiongozi atakayependa serikali mseto. Uwakilishi wa vyama kadhaa ndani ya serikali na jinsia pia.
4) Awe tayari kurekebisha mfumo wa utawala wa nchi kwa kuridhia upatikanaji wa katiba mpya itakayohakikisha, mihimili ya dola inakuwa huru zaidi, madaraka ya raisi yanapunguzwa zaidi, muungano unakuwa bora zaidi, wananchi wanafurahia uhuru wao na mipaka yake zaidi n.k
ENDELEA...
Wadau maendeleo ya Nchi yataletwa na Wananchi wenyewe, yaani sisi watanzania. Sioni kama ni afya kwetu kumaliza uchaguzi wa 2020 juzi na kuanza mijadala ya uchaguzi wa 2025 leo. Tunayo miaka mitano (5) ya kutekeleza ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 kila mmoja kwa nafasi yake, Mhe.Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Mbunge Diwani, Mwenyekiti wa kitongoji. Ndiyo Maana Rais mmoja wa Marekani (nadhani Kenedy J F) aliuliza wewe umeifanyia nini Marekani? Tuulizane kila mtanzania wewe umeifanyia nini Tanzania kwa nafasi yako, usiseme nikiwa Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa kitongoji! Kila mmoja kwa nafasi yake anaowajibu na anaweza kuacha alama za uongozi au utendaji. Wenzetu hasa wamarekani uchaguzi ukiisha ,siasa zinaisha tunatekeleza , aliyeshindwa anampongeza mshindi na kumpa mikakati mbadala (plan B) mimi ningeshinda ningefanya moja,mbili nk. Kwetu unaficha madesa, unaomba usiku na mchana asitekeleze ili safari ijayo ushinde wewe, unakwenda kwa wafadhiri unawambia msitoe msaada, unaanza harakati miaka mitano (5) kukwamisha, kutabiri mabaya na kuzomea utendaji, nadhani hili limepitwa na wakati, tubadirike na mabadiriko yaanze na sisi.
Hayo yote wazungu wa Afrika kusini walifanya, lakini wakina Mandela waliwapinga. Tunataka utawala bora, na vitu isiwe sababu ya kuonea wasiokukubali.Nikweli mkuu maana mwislamu ndo alituletea maendeleo kwa kusafiri kila siku kwenda ughaibuni, akatuletea zawadi ya Richmond, Dowans, Epa, Escrow (tena hapa akakazia kuwa fedha za ESCROW hazikuwa za serikali) bila kusahau Meremeta, Malipo hewa na mengine lukuki.
Hatutachagua mkristo asije akatujengea Flyover, Reli, Kupanua bandari, Hospitali na Vituo vya Afya, miradi ya maji, kusambaza umeme nchi nzima, kununua ndege mpya 11 kwa cash na ku order nyingine 5, kujenga shule mpya zaidi ya 3000 nchi nzima, kukarabati za awali, kutumbua wazembe na wala rushwa, kuzuia safari za nje zisizo na tija, kuwafundisha watanzania kulipa kodi na kuipenda nchi yao, Kujenga stand zakisasa kila kona, kujenga miradi mikubwa ya kuzalisha umeme, kudhibiti sekta ya madini, kudhibiti sekta ya uchukuzi hasa bandarini, kujenga madaraja yakihistoria, kununua meli kubwa zaidi ya 5 na ku order 8 nyingine, elimu bure. Hatutaki haya tena.
Mpaka yaishe mbona kuna wengine tutakuwa tumewazika kwa kupandwa na Presha. Sema nini ndugu yangu tumuachie Mungu.Yana mwisho haya mzee mwenzangu