Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya nimesikitika sana.
Inaonesha wazi kuwa fikra na malengo yake kupitia album hii ni mazuri lakini hakujipanga vya kutosha ni kama alikurupuka. Sisemi kwamba nyimbo za kwenye album zote ni mbaya lakini kwakweli nilikuwa natarajia album bora zaidi kulingana na uwezo wake.
Mimi binafsi nafikiri yeye anadhani kuwa kuimba kwa lugha ya kiingereza pekee inatosha lakini kwa mashairi yale sidhani kama album hii itampandisha level yeyote.