Embu tuzungumzie kidogo hii album mpya ya Harmonize

Embu tuzungumzie kidogo hii album mpya ya Harmonize

Binafsi sijamuelewa kaimba nini sina chuki wala timu ila napenda mziki Mzuri alitakiwa kufanya zaidi
 
Jamaa naona kapiga kingereza kingi kichizi au ndo kutaka kwenda intaneshonali??

Yaani mpaka singeli ya kiingereza 😂😂😂😂. Kondeboy kanichekesha sana na lile singeli la kimalkia.
 
Back
Top Bottom