Embu tuzungumzie kidogo hii album mpya ya Harmonize

Binafsi sijamuelewa kaimba nini sina chuki wala timu ila napenda mziki Mzuri alitakiwa kufanya zaidi
 
Jamaa naona kapiga kingereza kingi kichizi au ndo kutaka kwenda intaneshonali??

Yaani mpaka singeli ya kiingereza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kondeboy kanichekesha sana na lile singeli la kimalkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…