chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
Sijajua kwa nini Jeshi la Polisi limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na Watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa Kitanzania.
Ukisikiliza ile video anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa mtu.
Sasa kunashindikana vipi kupatikana kwa huyo boss? Kunashindikana vipi kupatikana kwa huyo mume wa boss?
Kuna shindikana vipi kupatikana hao watenda maovu? Jamani wakati mwingine ninyi mliopewa dhamana na wananchi embu fanyeni kazi.
Soma pia: Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa mande na wanaume watatu