Tumefikia pabaya sanaSijajua kwa nini jeshi la police limechelewa hivi kutoa taarifa kwenye tukio la kinyama lililofanywa na watanzania wanaume wanne dhidi ya mdada mdogo wa kitanzania
ukisikiliza ile video/clip anaongea victim kuwa amefanyiwa vile kwa sababu ya kutembea na mume wa boss wa hawa mashwetaini.
sasa kunashindikana vipi kupatikana kwa huyo boss?
kunashindikana vipi kupatikana kwa huyo mume wa boss?
kuna shindikana vipi kupatikana hao watenda maovu?
jamani wakati mwingine ninyi mliopewa dhamana na wananchi embu fanyeni kazi
Sio lika ni linaHili nalo usishangae likapita shwaaaaaaaa
Litaletwa tukio lingine kubwa la kutuhamisha kwenye mjadala huu wa moto kipindi hiki ili tusahau hili la AfandeSio lika ni lina
Wewe hiyo video umeiona?mambo hayaendi hivyo ndugu
huu ushabiki mtaaribu sasa
unajaribu kuzungumza niniWewe hiyo video umeiona?
Kama ungefanikiwa kuiona hiyo video ungetambua hili halikuwa jambo la kusubiri kuibuka baadhi ya watu ndiyo lianze kufuatiliwaunajaribu kuzungumza nini
malaka husika zimeshaanza uchunguzi nduguKama ungefanikiwa kuiona hiyo video ungetambua hili halikuwa jambo la kusubiri kuibuka baadhi ya watu ndiyo lianze kufuatiliwa