Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Story kamili ilikua. Kupitia ushosti wa imelda na jacky,imelda akafanikiwa kupata nafasi ya kuwainterview Mengi na jacky kuhusu maisha yao etc na pia wakaphotoshoot kabisa kwenye jumba lao,mapicha kama yote huku ime akiwaambia likitoka jarida atawajulisha pia picha hawezi kuwapa mpaka jarida litoke
Siku ya siku Jack akamuuliza imelda kama picha zimetoka akajibiwa ndio akaomba azione kwa makubaliano hatazipost mtandaoni mpaka jarida litoke,imelda akamkubalia kishingo upande(kwa kumuogopa bwana machache) maana ni kukiuka masharti waliyojiwekea(Bang)
Siku kadhaa kabla jarida halijatoka,jack akazipost picha mtandaoni,imelda kumpigia simu azitoe ataharibu biashara maana mzigo tayari ushachapishwa binti akagoma. Imelda akatishia kuwashtaki ee bana Boss akaingilia kati imelda akakosa nguvu na support
yes..maana tuliziona mitandaoni..wamekaa kwenye garden moja matata kbs...hahaha...kuharibiana biashara huku