Emelda Mwamanga(BANG) aelezea bifu lake na Jacky pamoja na the late Mengi

Anashindana na anaofikiri wanamuonea wivu pamoja na wale watoto wa Mzee wakubwa.
 
I stand corrected binamu , yeah ni kweli mwanazengo

Na: warumi 2015
Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .

Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, ambaye ni mume wa aliyekuwa miss Tanzania, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lyn.

Akielezea chanzo cha kushtakiwa, mwenyewe anadai ni kuvujishwa kwa picha za mfanyabiashara huyo akiwa na familia yake, kitendo ambacho mfanyabiashara huyo hakukipenda hivyo aliamua kumshtaki mwanamama huyo kama adhabu na fundisho.

Akielezea kwa masikitiko mwanamama huyo alielezea jinsi ya picha hizo zilivyosambaa mitandaoni, ambazo zilipigwa mahsusi kwa ajili ya kupambwa kwenye jarida maarufu la mwanamama huyo, hata hivyo inasemekana baadhi ya wahariri wa jarida hilo walizivujisha picha za Mengi huyo kwenye mitandao ya kijamii either kwa bahati mbaya au kwa kukusudia , kitendo kilichomkera Mengi na kuamua kumshtaki.

https://www.jamiiforums.com/threads...ga-wa-bang-magazine-na-reginald-mengi.860866/
 
Shost wee, mume kamwachia mimali yote ile anaanza kulia ili iweje? Wajane sie tunaotegemea waume zetu wauza mikaa Ndo watulishe familia nzima mpaka ukoo apo mume akifa utalia kama wanawake wa kinegeria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani wewe nimecheka sana
 
Kaongo weye! Haina hatari ila punguza hizo "basi bwana" zinaleta kitu fulani kwa kigogo huitwa "monotonous "!Halafu siku hizi unajitahidi "kutia " kizungu kwenye ukwaju wako. Hongera.
 
Mane utukome wanyaki. Jacky sio mnyaki jamani, muache alie kwa style yake.
 
Kaongo weye! Haina hatari ila punguza hizo "basi bwana" zinaleta kitu fulani kwa kigogo huitwa "monotonous "!Halafu siku hizi unajitahidi "kutia " kizungu kwenye ukwaju wako. Hongera.

Ahaha kizungu cha kuombea maji, ahsante binamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…