Emerging rift between Uganda and Tanzania

Emerging rift between Uganda and Tanzania

Ni kwa sababu kilichomleta Afrika hakipo TanZania, amekwenda Uganda kwa sababu Baba yake alikuwa moja ya mateka waliouliwa Entebe wakati Wayahudi walipochukuliwa mateka, amekwenda Kenya kwa sababu ya mambo ya usalama na mambo ya Al Shabab ambapo Israeli inataka kuizuia Kenya silaha ili ipambane na Ugaidi na isitoshe Raisi Uhuru Kenya alimualika alipokuwa huko Israeli, amekwenda Rwanda kwa sababu wana makubaliano na Serikali ya Rwanda kurudisha wakimbizi wa kiafrika waliokuwa Israeli, Israeli haiwataki hivyo wamekubaliana au wana mpango wa kukubaliana na Rwanda iwachukuwe halafu Israeli itailipa Rwanda fedha, sasa ulitaka aje TanZania kufanya nini?

Au ulifikiri Wazungu ni Waafrika wanajiendea tu kila mahali? Labda nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Raisi Uhuru Kenya kwenda Uganda wkt Netanyahu alikuwa anakuja Kenya kesho yake tu?

Kuna mambo mengi Kenya iliingia kwenye makubaliano na Israel kwenye kikao baina ya Uhuru na Israel, ni zaidi ya usalama.
Pia na yale majadiliano yaliyofanyika kiukanda baina ya marais na Israel ambapo Uhuru alikwenda Uganda kuhitimisha.
Zaidi pia marais nao wakakutana baina yao na kuingia kwenye majadiliano.

Juzi niliona sehemu kwamba mpo tayari kuhusisha mkarimani ili mtumie Kiswahili kwenye vikao vya kimataifa. Bora mharakishe hilo maana kuendelea kuogopa ogopa hivi, kuna mambo mengi yatawapita.
 
Wabongo bana! Jk alikuwa hapotezei Mwaliko akalaumiwa huyu anapotezea analaumiwa pia. We are born to blame!
Mkuu angalia source ya habari utagundua ni kenyans journalist what else do you expect? Ni bla bla bla tu huwa wanawish project zetu zote zifail nchi ifail hata mlima kilimanjaro uangukie kenya forget about them writing any positive news for Tz.
 
Kuna mambo yanaendela nyuma ya pazia wewe hauyafahamu ninahisi, jiandaeni tu kulipa hayo madeni ya kuuziwa Silaha na Israeli na kudili na Magaidi kwa miaka mingi ijayo!

Kenya siku zote inatumiwa kupigana proxy war huko Somalia, kwa kifupi Kenya inafanya dirty job kwa ajili ya Wazungu huko Somalia na muumiaji na mlipaji ni Mkenya wa kawaida na siyo Mzungu au Muisraeli, nchi ya Kenya haina sababu yoyote ile kuwepo Somalia, isipokuwa kupigana vita ya Mzungu kwa manufaa ya Mzungu, kuna sababu kwa nini Al Shabab walipomamisha Shopping Mall Nairobi Waislreali walikuja kusaidia, amka kijana na jiandaeni kwa mashambulizi mengi tu huko mbele siajabu hata kufanyiwa majaribio ya biological na chemical weapons!

Hehehe!! Mtahangaika sana na hizi propaganda zenu, vita dhidi ya ugaidi duniani sio vya Mkenya tu, hawa magaidi wanaendelea kuharibu kila mahali na inabidi wapigwe tu kwa vyovyote vile. Iwe kwa nyuma ya pazia au la, lazima wapigwe.

Mswahili leo unaumwa kisa Israel anaingia Afrika, inakuhusu nini ukiwa hapo Mbagalla, wacha wenye nia ya kumpokea tumpokee na kufanya naye kazi. Kuna mengi ya kujifunza kutoka Israel, wale wamefaulu kuzalisha mazao ndani ya jangwa wakati wewe una nchi kubwa yenye rotuba ilhali huna chochote cha kuonyesha zaidi ya kuishi maisha ya umaskini, halafu leo hii unataka kujitutumua dhidi ya Israel.

Leo hii Kenya tunafanya ukulima wa unyunyizaji kwenye maeneo kame, na kwa ushirikiano wa teknolojia ya Myahudi
cs_eugene_wamalwa_s577a2ac67afe7.jpg
 
Mkuu,
Hakuna anaehangaika na ujio wa huyo pm wa Israel so long as he doesn't feed our children..
Naithamini Israel kwa sababu zangu za kiimani tu na si vinginevyo,
Halafu sioni kama umefikiria sana kuhusu ugaidi,
You Kenyans are not fighting terrorism, but you are just victims.
Huyo Jew's PM exactly knows what is terrorism and he how to stop it,
But trust me ugaidi hautaisha duniani milele maana big guys are behind it.
If you are wise advise your gvn to pull out your beloved soldiers out of Somaliland..

Sisi wabongo as a sovereignty nation will fight for our own lives and ensure our generations perpetuates, that's what we must do first., other things comes next.
Someone asked a very interesting question why did Uhuru meet Benjamin in UG while he is to visit Kenya, huyo president wenu nae hajiamini,
For this I salute my beloved president,
Halafu my President can't just waste his beautiful time fleeing away just to meet a prime minister, it is nonsense!
God Bless Tanzania.
 
Sasa kama hamhangaiki na ujio wa Netanyahu mbona makelele mengi, tangia huyo waziri mkuu aje, hamlali na mnaibua kila aina ya mada. Fahamu kiongozi wa Israel haendi nchi za watu bila mipango, lazima pawe na shughuli nzima ya maandalizi na makubaliano ya kibiashara, na haikuanza kwenye ujio wake tu, lobbying kabambe zilifanyika kwa muda. Yeye alikuja kutia saini tu, ila mambo mengi yalikua yameshazungumzwa na kuingia kwenye makubaliano.

Halafu hili la ugaidi, nitarudia tena, dunia leo hii ipo kwenye vita dhidi ya ugaidi na sio vita vya Wakenya tu. Majeshi yetu yawe au yasiwepo Somalia, hilo halitazuia ugaidi. Waliteka watalii wetu hata kabla hatujawaza kuhusu Somalia.

Rais wetu ni level nyingine kwenye masuala ya kimataifa, wala hana ligi hapa ukanda huu wote. Vikao baina ya marais havifanywi mithili ya jinsi unavyomtembelea swahiba wako hapo kitaa. Kuna mambo mengi sana yanayozungumzwa na kuingia kwenye makubaliano. Netanyahu alikuja Kenya na wakaingia kwenye majadiliano baina ya nchi zetu, Israel na Kenya. Mambo ya kiaina ambayo ilikua lazima yafanyikie Kenya.

Halafu kule Uganda kulikua na mazungumzo baina ya ukanda wote na Israel.

Rais ndiye sura ya nchi, makubaliano yoyote ambayo anahusika huwa yanachukuliwa serious au ya kumaanisha zaidi ya kumtuma mwakilishi anayekwenda kushangaa na kukenua.
 
Huyu naye anajifanya mchambuzi wa siasa.....lol!
 
Nawe unajifanya mchambuzi wa nini??? Watu wanachambua na umebaki tu na hadithi za lila na fila
Msimamo wa Mwalimu Nyerere kuhusu vita vya Israel-Palestine kila mtu anaufahamu.
Na pia ndio msimamo rasmi wa Umoja wa Afrika.
Cha msingi ni kwamba waziri alimwakilisha Rais vilivyo na tayari wameahidiana kufungua ubalozi wa israel tanzania and vice versa!
 
Kuna mambo mengi Kenya iliingia kwenye makubaliano na Israel kwenye kikao baina ya Uhuru na Israel, ni zaidi ya usalama.
Pia na yale majadiliano yaliyofanyika kiukanda baina ya marais na Israel ambapo Uhuru alikwenda Uganda kuhitimisha.
Zaidi pia marais nao wakakutana baina yao na kuingia kwenye majadiliano.

Juzi niliona sehemu kwamba mpo tayari kuhusisha mkarimani ili mtumie Kiswahili kwenye vikao vya kimataifa. Bora mharakishe hilo maana kuendelea kuogopa ogopa hivi, kuna mambo mengi yatawapita.
Bullsh*t bro... huna hoja kaa kimya.. kwanza Magufuli anajua protocal.. hapo kwenye hiyo picha walitakiwa wakae mawaziri wakuu au Mwanadiplomasia mkuu ndio maana akamtuma Mahiga.. Rais wa Israel ndio mwenye hadhi sawa na Magufuli.

Kenyatta angemtuma Waziri wenu mambo ya nje au ya ndani kujadili hilo jambo huko Kampala.. then angemhost netanyahu Nairobi.. ila kama mchangiaji mmoja alivyosema Viongozi wenu ni Buttlickers..
 
in some issues you don't send representatives! sasa FM wenu alienda Kampala kukenua meno na kukuna mattercore...hakuwa na jipya kwani alikuwa just a small boy among real men. tafakari hayo msera
 
President Yoweri Museveni invited regional leaders for the regional summit on counter terrorism in Uganda to be addressed by Prime Minister Netanyahu. All leaders showed up except Tanzania and Burundi. For Burundi, i don't blame him, his country is still unstable and he suffered a failed coup the last time he left the country. Even President Kiir showed up despite economic crisis in the country. Tanzanian President Magufuli didn't turn up but sent his foreign minister as other heads of state from the region went there in Person. Since then the regional diplomatic circles have been debating why. Could it be that Tanzania was the only country President Netanyahu skipped on his regional visit. Has the recent warming of relations between UG-Tz cooled down. Of particular interest is the oil pipeline deal which it has now emerged that contrary to Tz promise to UG on Total commitment, it actually isn't funding the project. Tz has yet to get alternative finance and its intention to borrow $7 Billion funds is not possible for any lender under Tz junk credit rating. Could President Pombe be avoiding M7 to explain the fiasco?

13566924_10209599022836439_8479158839715183310_n.jpg

for comments :- Emerging rift between Uganda and Tanzania
Tanzania can not accept to attend Uganda meeting because Israel is the first country in the world for sponsoring terrorism in the world. How many Palestina are dying daily in the hand of Benjamin Natanyahu government.
Shameful for the leaders who attended meeting with Apartheid Prime Minister of Israel.
 
Jubilee government wana hali mbaya sana katika uchaguzi unakuja wanatafuta sympathy ya Serikali ya Israel ili wachakachue uchaguzi wa mwaka kesho. Rais Mseveni wa Uganda anajua alichokifanya uchaguzi mkuu uliopita na alikuwa isolated na International Community sasa anataka arudi na kuonekana anaongoza vita dhidi ya ugaidi.
 
in some issues you don't send representatives! sasa FM wenu alienda Kampala kukenua meno na kukuna mattercore...hakuwa na jipya kwani alikuwa just a small boy among real men. tafakari hayo msera
Real Men don't invite small boys in their gig.. dig that too..
 
you cant leave your friends just because they have a bad habit, your friends are your friends because they help you somehow at a time when you need a friend, and thats kenya-israeli relation in a nutshel
.

anyway, as for palestine, we were there for them when it counted most. they say you cant have everything, but so far we are both ways

”Kenya alongside other like-minded countries, voted in favour of a resolution of the UN General Assembly to grant Palestine the status of a non-member State of the UN,” noted Kenyatta.
The Kenyan Head of State has so far met the Emir of Kuwait Sheikh Sabah Al-Ahmed Al-Jaber Al-Sabah

it wast all they wanted but it was a big step towards recognistion of palestine,
 
Wabongo bana! Jk alikuwa hapotezei Mwaliko akalaumiwa huyu anapotezea analaumiwa pia. We are born to blame!
Lakini thread imeanzishwa na Mkenya, sio M'bongo
 
Pale mahali Kingereza ndicho kilikua kinatumika, hivyo kama tujuavyo sote, lugha ya malkia imewakataa watu wengi.

Halafu I thought Total PLC was funding the project, did Tz commit to spend any money.

Hivi mbona Netanyahu kaikwepa Bongo wakati ameingia kwenye mataifa yote ya EAC.
Sifa Mbaya wewe
Lugha inahusiana vipi !!
 
Pohamba, MK254, The Boss, Nguruvi3,

..Magufuli hakwenda kwenye mkutano wa viongozi wa AU.

..pia alialikwa Uingereza lakini akamtuma Waziri Mkuu.

..kwenye jumuiya ya SADC amekosa kuhudhuria vikao viwili. Mara zote ametumwa Waziri Mkuu Majaliwa.

..Je, ni kubana matumizi? Kama ni hivyo si tulitakiwa tusimtume hata Waziri Mkuu?

..Wadadisi wa siasa za kimataifa za Tanzania hawaelewi kwanini Raisi wetu amekuwa mzito kuhudhuria vikao muhimu hata vile vya jumuiya ambazo Tanzania ni waasisi.

..
 
Unataka aje kwa lipi,,,,,unapotoa ujumbe kwa public jarib kuangalia interest za nchi iyako,,,,,ulitaka aje tz tumpigie mizinga then aondoke,,,,anapoenda anaangalia pale anaenda kwa lipi cyo kuja kuja tyu,,,
 
Pohamba, MK254, The Boss, Nguruvi3,

..Magufuli hakwenda kwenye mkutano wa viongozi wa AU.

..pia alialikwa Uingereza lakini akamtuma Waziri Mkuu.

..kwenye jumuiya ya SADC amekosa kuhudhuria vikao viwili. Mara zote ametumwa Waziri Mkuu Majaliwa.

..Je, ni kubana matumizi? Kama ni hivyo si tulitakiwa tusimtume hata Waziri Mkuu?

..Wadadisi wa siasa za kimataifa za Tanzania hawaelewi kwanini Raisi wetu amekuwa mzito kuhudhuria vikao muhimu hata vile vya jumuiya ambazo Tanzania ni waasisi.

..
Mkuu kuna tatizo kubwa katika hili.

Watetezi wanasema JK alilaumiwa kusafiri, huyu analaumiwa kutosafiri.

Naomba niweke sawa kwa maoni yangu

Watu hawakumlaumu JK kusafiri kama kiongozi.
Walilaumu safari ambazo hazikuwa na tija kwa kiongozi wa Taifa.

Tunamaanisha safari ya Rais lazima iwe na malengo, tija na outcome

Pili, Magufuli hahudhurii mikutano muhimu yenye tija ya Taifa.

Kwa maneno mengine eneo kama SADC hajakutana na wenzake(reclusive).

Mikutano yenye tija ni fursa nzuri ya kuchangamana na wenzake''collegiate''

Kama suala ni gharama, afute kabisa hiyo mikutano anayowakilishwa

Tujiulize kama ni gharama, je ni kubwa kuliko zinazotokana na foleni za Dar?

Kwa maoni yangu kuna sababu binafsi zisizohusiana na masilahi ya Taifa, kwa bahati mbaya zinagusa masilahi ya Taifa.
 
Wacheni kutafuta kila jambo kama mtaji wenu kisiasa,
Hao alio watuma wao sio viongozi?

Mfikie hatua mtafute mambo yakutumia akili zaidi ili kuendana na kazi yenu ya siasa
Sio kila siku kutafuta lipi kafanya au hakufanya rais.

Mmekuwa ndumila kuwili wa siasa
Full unafiki usio na kifani

Kesho akianza safari nilazima mtasematu,

Kwataarifa yako hata Rais wa Kenya
Naye anasemwa vibaya na watu kama ninyi
Kwamba anasafiri sana .

Magu akifuata kelele za chura kamwe hatutavuka mtu
 
Back
Top Bottom