Emerging rift between Uganda and Tanzania

Emerging rift between Uganda and Tanzania

Wacheni kutafuta kila jambo kama mtaji wenu kisiasa,
Hao alio watuma wao sio viongozi?

Mfikie hatua mtafute mambo yakutumia akili zaidi ili kuendana na kazi yenu ya siasa
Sio kila siku kutafuta lipi kafanya au hakufanya rais.

Mmekuwa ndumila kuwili wa siasa
Full unafiki usio na kifani

Kesho akianza safari nilazima mtasematu,

Kwataarifa yako hata Rais wa Kenya
Naye anasemwa vibaya na watu kama ninyi
Kwamba anasafiri sana .

Magu akifuata kelele za chura kamwe hatutavuka mtu
Ungelijibu hoja kwa hoja. Kwani unataka kusema kuhusu nini mkuu!
 
you cant leave your friends just because they have a bad habit, your friends are your friends because they help you somehow at a time when you need a friend, and thats kenya-israeli relation in a nutshel
.

anyway, as for palestine, we were there for them when it counted most. they say you cant have everything, but so far we are both ways

”Kenya alongside other like-minded countries, voted in favour of a resolution of the UN General Assembly to grant Palestine the status of a non-member State of the UN,” noted Kenyatta.
The Kenyan Head of State has so far met the Emir of Kuwait Sheikh Sabah Al-Ahmed Al-Jaber Al-Sabah

it wast all they wanted but it was a big step towards recognistion of palestine,

Huo niurafiki gani ambao wakenya wenzie hawa uafiki!?

Kuna wengi hawakupendezwa na hilo

Pale mahali Kingereza ndicho kilikua kinatumika, hivyo kama tujuavyo sote, lugha ya malkia imewakataa watu wengi.

Halafu I thought Total PLC was funding the project, did Tz commit to spend any money.

Hivi mbona Netanyahu kaikwepa Bongo wakati ameingia kwenye mataifa yote ya EAC.
wewe....haya
 
Tabia ya kulalama n.a. kulaumu imetudumaza kiakili...karibu itadumaza n.a. roho pia
 
Tabia ya kulalama n.a. kulaumu imetudumaza kiakili...karibu itadumaza n.a. roho pia

..tatizo letu hatuchukui hatua.

..tunatakiwa tulalamike na tulaumu halafu tuchukue hatua.

..maisha ya waTz ni magumu kutokana na miongo kadhaa ya uongozi mbovu wa ccm. Suala la wananchi kulalamika na kulaumu haliepukiki.
 
..
Mkuu kuna tatizo kubwa katika hili.

Watetezi wanasema JK alilaumiwa kusafiri, huyu analaumiwa kutosafiri.

Naomba niweke sawa kwa maoni yangu

Watu hawakumlaumu JK kusafiri kama kiongozi.
Walilaumu safari ambazo hazikuwa na tija kwa kiongozi wa Taifa.

Tunamaanisha safari ya Rais lazima iwe na malengo, tija na outcome

Pili, Magufuli hahudhurii mikutano muhimu yenye tija ya Taifa.

Kwa maneno mengine eneo kama SADC hajakutana na wenzake(reclusive).

Mikutano yenye tija ni fursa nzuri ya kuchangamana na wenzake''collegiate''

Kama suala ni gharama, afute kabisa hiyo mikutano anayowakilishwa

Tujiulize kama ni gharama, je ni kubwa kuliko zinazotokana na foleni za Dar?

Kwa maoni yangu kuna sababu binafsi zisizohusiana na masilahi ya Taifa, kwa bahati mbaya zinagusa masilahi ya Taifa.

..labda nchi marafiki wameshaelezwa "tatizo" linalosababisha mkulu asihudhurie hiyo mikutano.

..Jenerali Ulimwengu alishaligusia hilo "tatizo" in one of his articles.

.."tatizo" siyo LUGHA ni suala lingine.

..sasa hii inanikumbusha enzi zile za Soviet Union. Brezhnev, Andropov, Chernenko, walikuwa hawasafiri. Kila mahali alikuwa anakwenda Andrei Gromicko.

Cc MOTOCHINI, MK254
 
Hehehe tatizo lenu JokaKuu nikuwa
Ninyi mlitaka Rais wa kabila au wa ukanda wenu
Sio vinginevyo.
Mlikuwa radhi yeyote yule atakaye gombea kutoka Kaskazini kwenu nilazima mumpambie pasipo kuangalia uwezo,matendo na Imani yake kwa Watanzania.

Hivyo basi Kwa Magufuli kufanya lolote na mkaona kafanya vyema itakuwa ngumu sana,
Lakini kwakuwa tumesha lifahamu hilo
Magu hataweza kuteteleka kamwe,
Nahuyo mnaye mpambia kamwe hataongoza Taifa hili .
 
Nilivyoona kichwa cha habari nikasttuka kuona, hii ni nini tena,
lakini nilivyosoma heee nimecheka nikaona kumbe ni ile wishfull thinking in the making.
Ahaa haaa haaaaa fisi anasubiria mkono kuanguka.
In any how TATOL wont risk their capital to route the pipeline through a terrorism stricken kenya. Hiyo sahau.
 
Hehehe tatizo lenu JokaKuu nikuwa
Ninyi mlitaka Rais wa kabila au wa ukanda wenu
Sio vinginevyo.
Mlikuwa radhi yeyote yule atakaye gombea kutoka Kaskazini kwenu nilazima mumpambie pasipo kuangalia uwezo,matendo na Imani yake kwa Watanzania.

Hivyo basi Kwa Magufuli kufanya lolote na mkaona kafanya vyema itakuwa ngumu sana,
Lakini kwakuwa tumesha lifahamu hilo
Magu hataweza kuteteleka kamwe,
Nahuyo mnaye mpambia kamwe hataongoza Taifa hili .

..duh.

..umetoka nje ya mada.

..achana na mambo ya ukanda, ukabila, udini etc.

..jikite kwenye hoja zilizoko mezani.

..sasa na mimi nikisema unamsifia na kumtetea Magu kwasababu mmetoka kanda moja si nitakuwa nimeharibu mjadala??

..kanda ninayotoka mimi haiathiriki na na nani ni Raisi wa Tz.

..at an individual level, usijitenge kuwa wewe ni wa kanda fulani au mkoa fulani. Jichukulie kama Mtanzania. Tafuta opportunities popote pale Tz.

..hata ktk uongozi wewe gombea popote pale. Usijifungie kwenye ukanda na ukabila.
 
Ni kwa sababu kilichomleta Afrika hakipo TanZania, amekwenda Uganda kwa sababu Baba yake alikuwa moja ya mateka waliouliwa Entebe wakati Wayahudi walipochukuliwa mateka, amekwenda Kenya kwa sababu ya mambo ya usalama na mambo ya Al Shabab ambapo Israeli inataka kuizuia Kenya silaha ili ipambane na Ugaidi na isitoshe Raisi Uhuru Kenya alimualika alipokuwa huko Israeli, amekwenda Rwanda kwa sababu wana makubaliano na Serikali ya Rwanda kurudisha wakimbizi wa kiafrika waliokuwa Israeli, Israeli haiwataki hivyo wamekubaliana au wana mpango wa kukubaliana na Rwanda iwachukuwe halafu Israeli itailipa Rwanda fedha, sasa ulitaka aje TanZania kufanya nini?

Au ulifikiri Wazungu ni Waafrika wanajiendea tu kila mahali? Labda nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Raisi Uhuru Kenya kwenda Uganda wkt Netanyahu alikuwa anakuja Kenya kesho yake tu?

Kila kitu ulicho sema ni sahihi kabisa, isipokuwa commando aliye uwawa Uganda alikuwa kaka yake Natenyahu.

Wakati wa utawala wa Jomo Kenyatta makomando wa Israel walikubaliana na Serikali ya Kenya kuruhusiwa kujaza mafuta ya ndege zao zilizo husika katika rescue mission ya mateka huko Entebbe Uganda - hiyo inaweza kuwa vile vile ni sababu ya Netanyahu kwenda Kenya kuwashukuru kwa msaada walio toa kwa Makomando wa Israel.
 
Kuna watu wanaitwa mercenaries ama mamluki, kwa kawaida nchi moja huwapeleka nchi ingine kwa lengo maalumu na mara zote ni highly trained personel ambao wataweza kutekeleza kwa uhakika jukumu lao.

Je wanaoletwe EAC ni kweli ni wakimbizi? Je nchi husika baada itawafanyaje wakimbizi hao? Je wao ndio wamechagua kupelekwa huko ama Israel ndio imewachagulia?
 
Hehehe tatizo lenu JokaKuu nikuwa
Ninyi mlitaka Rais wa kabila au wa ukanda wenu
Sio vinginevyo.
Mlikuwa radhi yeyote yule atakaye gombea kutoka Kaskazini kwenu nilazima mumpambie pasipo kuangalia uwezo,matendo na Imani yake kwa Watanzania.

Hivyo basi Kwa Magufuli kufanya lolote na mkaona kafanya vyema itakuwa ngumu sana,
Lakini kwakuwa tumesha lifahamu hilo
Magu hataweza kuteteleka kamwe,
Nahuyo mnaye mpambia kamwe hataongoza Taifa hili .
Mkuu hii si ni fursa ya kuelimisha wenye tatizo kwanini hali imekuwa hivi.
Hayo uliyoandika hayahusiani na mada wala hayajibu mada , kufafanua au vinginevyo. Yanonyesha utupu wa hoja na hivyo mashudu yanaweza kujazia
 
Kila kitu ulicho sema ni sahihi kabisa, isipokuwa commando aliye uwawa Uganda alikuwa kaka yake Natenyahu.

Wakati wa utawala wa Jomo Kenyatta makomando wa Israel walikubaliana na Serikali ya Kenya kuruhusiwa kujaza mafuta ya ndege zao zilizo husika katika rescue mission ya mateka huko Entebbe Uganda - hiyo inaweza kuwa vile vile ni sababu ya Netanyahu kwenda Kenya kuwashukuru kwa msaada walio toa kwa Makomando wa Israel.
Kuna kitabu cha '90 minutes at Entebe'' kinaeleza safari nzima na jinsi walivyokoa matekwa.
Hapo utamkuta Gen Moshi Dayan aliyekuwa na heshima sana, alipokubali mpango mission ikafanyika. Wakati wakiingia Entebbe Dayan alikuwa anakula story na Amin akiwa angani eneo la Afrika Mshariki.
 
..

..labda nchi marafiki wameshaelezwa "tatizo" linalosababisha mkulu asihudhurie hiyo mikutano.

..Jenerali Ulimwengu alishaligusia hilo "tatizo" in one of his articles.

.."tatizo" siyo LUGHA ni suala lingine.

..sasa hii inanikumbusha enzi zile za Soviet Union. Brezhnev, Andropov, Chernenko, walikuwa hawasafiri. Kila mahali alikuwa anakwenda Andrei Gromicko.

Cc MOTOCHINI, MK254
Nadhani na exposure ya viongozi wengi katika international affairs ni changamoto pia
 
Pale mahali Kingereza ndicho kilikua kinatumika, hivyo kama tujuavyo sote, lugha ya malkia imewakataa watu wengi.

Halafu I thought Total PLC was funding the project, did Tz commit to spend any money.

Hivi mbona Netanyahu kaikwepa Bongo wakati ameingia kwenye mataifa yote ya EAC.
Kwanza jitambulishe kama wewe no mjaluo au mkikuyu au kabila gani kwani hakuna nchi inaitwa kenya!
 
Sasa kama hamhangaiki na ujio wa Netanyahu mbona makelele mengi, tangia huyo waziri mkuu aje, hamlali na mnaibua kila aina ya mada. Fahamu kiongozi wa Israel haendi nchi za watu bila mipango, lazima pawe na shughuli nzima ya maandalizi na makubaliano ya kibiashara, na haikuanza kwenye ujio wake tu, lobbying kabambe zilifanyika kwa muda. Yeye alikuja kutia saini tu, ila mambo mengi yalikua yameshazungumzwa na kuingia kwenye makubaliano.

Halafu hili la ugaidi, nitarudia tena, dunia leo hii ipo kwenye vita dhidi ya ugaidi na sio vita vya Wakenya tu. Majeshi yetu yawe au yasiwepo Somalia, hilo halitazuia ugaidi. Waliteka watalii wetu hata kabla hatujawaza kuhusu Somalia.

Rais wetu ni level nyingine kwenye masuala ya kimataifa, wala hana ligi hapa ukanda huu wote. Vikao baina ya marais havifanywi mithili ya jinsi unavyomtembelea swahiba wako hapo kitaa. Kuna mambo mengi sana yanayozungumzwa na kuingia kwenye makubaliano. Netanyahu alikuja Kenya na wakaingia kwenye majadiliano baina ya nchi zetu, Israel na Kenya. Mambo ya kiaina ambayo ilikua lazima yafanyikie Kenya.

Halafu kule Uganda kulikua na mazungumzo baina ya ukanda wote na Israel.

Rais ndiye sura ya nchi, makubaliano yoyote ambayo anahusika huwa yanachukuliwa serious au ya kumaanisha zaidi ya kumtuma mwakilishi anayekwenda kushangaa na kukenua.
Watu wote wanaojiita wakenya wameshikishwa adabu na alshaabab ya somalia kiasi cha kuhitaji msaada toka israel. Sasa sijui mkaa mtatoa wapi maana ndiyo kazi mnayofanya somalia.
Mkuu,
Hakuna anaehangaika na ujio wa huyo pm wa Israel so long as he doesn't feed our children..
Naithamini Israel kwa sababu zangu za kiimani tu na si vinginevyo,
Halafu sioni kama umefikiria sana kuhusu ugaidi,
You Kenyans are not fighting terrorism, but you are just victims.
Huyo Jew's PM exactly knows what is terrorism and he how to stop it,
But trust me ugaidi hautaisha duniani milele maana big guys are behind it.
If you are wise advise your gvn to pull out your beloved soldiers out of Somaliland..

Sisi wabongo as a sovereignty nation will fight for our own lives and ensure our generations perpetuates, that's what we must do first., other things comes next.
Someone asked a very interesting question why did Uhuru meet Benjamin in UG while he is to visit Kenya, huyo president wenu nae hajiamini,
For this I salute my beloved president,
Halafu my President can't just waste his beautiful time fleeing away just to meet a prime minister, it is nonsense!
God Bless Tanzania.
 
Raisi Magufuli ni intelligent man, Ni Kiongozi intelligent klk hao Viongozi wote hapo!
Sasa hao Maraisi wamekutana kujadiliana khs ugaidi na vita vinavyoendelea kwenye nchi zao, nchi zote hizo ni victim wa ugaidi na vita, sasa ulitaka Raisi wetu akafanye nini hapo?

Mbona kwenye kuapishwa kwa Raisi Museveni alienda? Si ni kwa sababu kulikuwa na umuhimu sasa aende kushikana mkono na bloody Netanyahu ili iwe nini? Na isitoshe Waziri wetu wa mambo ya nje alikuwepo sasa kwa mnapiga kelele?
Your argument is self-defeating. Kama hoja yako ndiyo hiyo ya kutokuwepo ugaidi au vita, waziri wa mambo ya nje kaenda kufanya nini? By the way, intelijensia si inaonyesha hali ya amani ni tete hapa Tanzania?
 
Pale mahali Kingereza ndicho kilikua kinatumika, hivyo kama tujuavyo sote, lugha ya malkia imewakataa watu wengi.

Halafu I thought Total PLC was funding the project, did Tz commit to spend any money.

Hivi mbona Netanyahu kaikwepa Bongo wakati ameingia kwenye mataifa yote ya EAC.
na Burundi alienda
 
Back
Top Bottom