..ilikuwa vigumu sana kwa SG kutembelea mataifa mengine.
..ziara nyingi, kama siyo zote, zilikuwa zikifanywa na Andrei Gromicko.
..sasa mimi najiuliza kama hiki kinachoendelea ktk awamu hii ni mfano wa jinsi hali ilivyokuwa wakati wa Brezhnev, Andropov, au Chernenko?
..suala lingine ni hadhi na nafasi ya Tanzania ktk medani ya diplomasia na mahusiano ya kimataifa. We have always punched above our weight.
..Nina wasiwasi tunaweza tukaporomoka kama tutaendelea na utaratibu huu, na ikiwa Raisi wetu atakosa lugha na hoja zenye ushawishi huko nje.
Cc Nguruvi3