Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Actually nimempa pesa ndogo million mia tatu tu!yereee uwii umeshiba petha eeeh
 
1. Ekilo kitwala empendeke. Tafsiri: Usiku una mambo mengi ya hatari. 2. Byo'mwanshonzi no'mwana aina ebileju. Tafsiri: Kwa Kambale hata mtoto ana shalubu. 3. Entumwa teitwa. Tafsiri: Mjumbe hauwawi. 4. Alala omuyabanu tagona. Tafsiri: Ulkilala kwenye nyumba usiyo yako, usikorome.
 
atakyala ati mae achumba..

nkawatagata otanywoile?

obona obaza oti kayango muki.....
 
Mimi ni kopy hapa mkichwa mimi nimetoa kichwani mimi dongo la zamani mdada>>>>Atakwendela ati Tamanya kulima!
Nishushe hapohapo KakaKiiza maana ukiendelea kunibeba utaniangusha jamani

  • :israel:

  • :lock1:
 
Last edited by a moderator:
Hivi kwa hapa Dsm ni wapi naweza kupata kamusi au kitabu kitakachonifunza Kihaya? Nataka kuiva kwenye lugha yangu ya asili.
 
Back
Top Bottom