Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

Omunaku taina!
Ogwokunya gwawa, asigala ganyebwao owa?
 
Okutukuza elisho tibumanzi, ekishoisholya kyakuba kitabingwa ikote. ( Sura au umbo halitafsiri tabia, kuna ndege anaitwa kishoisholya, ana macho mekundu na mbwembwe nyingi, lakini ajabu ukimtupia tope lililokauka anatoka nduki. Ujumbe: Mwenye sura ya upole anaweza kuwa jasiri na mwenye sura ya kutisha akawa mwoga kabisa)
 
shumwala waitu=omushuma alamwa waitu
Hacha kupotosha,hiyo salamu ya watu walio oa tayari
 
Duu!! Sijui aliyebuni kuandika haya Leo hii cjui yuko wapi
Nimecheka kweli

Ayazinile! Tawa itengya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…